Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,432
- 2,629
Habari wakuu,
Kesho Jumatatu katika kipindi kinachorushwa na ITV cha dakika 45 atakuwepo katika mahojiano wazir kivuli wa mambo ndani kamanda Godbless Lema ni matumaini yangu kamanda Lema atazungumza mambo mengi kuhusiana na mambo mbalimbali yanayohusu wizara ya mambo ya ndani likiwemo la Lugumi.
================
Updates;