Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.

Ni wewe tu na ukilaza wako, wana-Arusha tuko poa na kamanda G J Lema, hutaki, meza vipande vya chupa kafilie mbali huko! Who cares!
 
Lema mbona sielewi anachokiongea ni afadhari wangeweka kipindi cha nyimbo za TOT ikiwemo nyimbo ya ccm mbele kwa mbele. Najua mtanuna
 
Lema anaongea vizuri sana. Facts mwanzo mwisho...
 
Sijawahi kumsikiliza lema, leo namsikiliza kwa mara ya kwanza, anaongea porojo tupu.
 
Sijui kasoma hadi la ngapi, badala ya kutanka value anasema valve! Makubwa! Si aongee kiswahili tu,
 
Kajitaidi sana ila anakwepa maswali ya msingi....
 
Sijui kasoma hadi la ngapi, badala ya kutanka value anasema valve! Makubwa! Si aongee kiswahili tu,
Mkuu haitoshi kumkosoa mtu aliyetamka, kwa kukiandika ili kuonesha usahihi. Ingetosha zaidi na wewe ungetamka "value" tukusikie unatamkaje ili tuone kama unatosha kumkosoa lema.
 
Hapo ndo nimegundua upinzani ujinga mtupu ona anachokifanya lema ITV haraf akifungiwa wanabwata siasa mchezo mchafu sana siasa maji taka
 
Ulikua unamtumia msg hii wifo yako ni nn? Maana ina papara hatar
 
amefanya nn?. mbona unakurupuka au unafikiri wa tz wote wameangalia kipindi itv
 
Rudi shule ukajifunze namna ya kuandika
 
Back
Top Bottom