sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
si mchezo,i wish ningekuwa choo
Ahahahaaah!! Hii nayo imetulia...Nahisi yanagonga chupi
Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.
This one! tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiumeonaeeeee.tena tahoi hata siri za naniliu ikoje wala nini.