Daily News: JK akiri hatma ya wagombea ipo mikononi mwa wapigakura................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daily News: JK akiri hatma ya wagombea ipo mikononi mwa wapigakura...................

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 28, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,253
  Trophy Points: 280
  Daily News limeripoti kuwa JK amekiri ya kuwa hatma ya wagombea wote ipo mikononi mwa wapiga kura...kauli hii inatia matumaini kwani kumekuwa na jitihada ya kumshinikiza Dr. Slaa tu kukubali matokeo lakini jitihada hizo kamwe hazijawahi kuelekezwa kwa JK..

  Wasi wasi wangu kila mara umekuwa hivi JK mbona haulizwi kama yupo tayari kuyakubali matokeo ikimaanisha ya kuwa lo lote lawezekana kutokea tu hata kwake na CCM yake matokeo yanaweza kuja wasivyotaka.....je watayakubali?..

  Hivi JK kuweka bayana kuwa hatma ya wagombea wote ikimaanisha na yeye ipo mikononi mwa wapigakura kauli hii tusipuuze hata kidogo ni kauli ya kiutu uzima kabisa....ya kuwa lolote laweza kutokea hata kwake na CCM yake..........Mimi siyo mpenzi wa JK hata kidogo lakini hapo amenena na apaswa kupongezwa vilivyo.........................
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  angekuwa anmaanisha anachosema siku nyingi angekuwa amekubali maoni ya wapinzani kuunda Tume Huru ya Uchaguzi. Hiyo ni danganya toto. Heshima yake imeshuka!!!!!!!!!!!!. Tazama mwenzie Karume heshima ilivyopanda kwa kuchukua maamuzi magumu Zanibar imetulia kama maji kwenye mtungi
  .
   
Loading...