Dah. . .wanawake wengine bana!!!

hivi ndoa yaweza kumfanya mtu achizike eenh?
kweli Mungu tusaidie makapera na waseja lol

Kabisa aiseee!!

1. Je ni kweli huyo mume alikua hana pesa? (2.) hakuna mazingira yoyote aliyoyaonyesha kuwa alifanya kusudi kumnyima mkewe hela mf. Kaja nyumbani kalewa? (3) hiyo ni mara ya kwanza kushindwa kumpa mkewe hela ya matumizi?
Nadhani itakua mara ya kwanza maana jamaa kasimamishwa kazi recently.

Yaani usipokuwa mvumilivu unaweza kumtimua fasta,mimi ishanitokea pesa ipo,mahitaji yapo ndani! kughafirika kidogo,haiingii jikoni kupika.siku nyingine kusuka mpaka usiku mkali asijue hakuna wa kupika nyumbani(msichana wa kazi hakuwepo).nikajiuliza alijua nitakula nywele? ni kweli wakati mwingine wake zetu hufanya vitu vya ajabu,uki react anakuona mbaya
Duh. . .
Pole sana aisee. Ila na wewe ulishindwa hata kupika wali mkavu ukala?!
 
Lizzy mydia, mwanamke kumuadhibu mumewe kwa kosa ambalo liko nje ya uwezo wake (hana kipato cha kumtosheleza) ni upungufu wa akili kichwani na upendo moyoni. Kama hana anataka akaibe? Na huyo mwanamke hana maarifa ya kufanya akapata mkaa?? hapa ndipo ule usemi mwa mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ingawa story yako iko shallow hujatweleza ilikuwaje mpaka mume akashindwa kutoa pesa ya mkaa kwa ajili ya familia yake na je kweli hana uwezo na akili za kuhakikisha kuwa anatimiza majukumu yake kama mume na baba? hasa kwa kuprovide chakula kitu ambacho ni jukumu kubwa kwa familia yake??

Mami chakula kipo, bwana kasimamishwa kazi recently kwahiyo swala la kukosa pesa mfukoni linawezekana sana.

Kuhusu mama kuwa na maarifa anayo sana. . .ndo maana tangu wiki iliyopota anapika na kula na watoto huku akimnyima mume.
 
Kabisa aiseee!!

Nadhani itakua mara ya kwanza maana jamaa kasimamishwa kazi recently.

Duh. . .
Pole sana aisee. Ila na wewe ulishindwa hata kupika wali mkavu ukala?!

Chezea mimi Lizzy,sio kila mwanaume hajui kupika
 
There is Always Two Sides in Every Story...

Mpaka mtu afikie kufanya jambo fulani lazima kuna kitu kimemfanya afanye hivyo.., watu huwa hawabadiliki na kuwa machizi all of a sudden (kinachofuka ni moshi lakini huenda ndani kuna volcano).., hivyo basi ni vigumu kwa mtu wa nje kujua sababu au ni nani mwenye makosa bila kupata facts zote... (wanawake wanasamehe lakini hawasahau) huenda ametendwa kiasi cha kutosha na hili la kunyimwa pesa ni last nail in the coffin..., hasira na chuki iliyosababishwa na mengi sasa ndio inaanza kujitokeza (hivyo basi ili wawili kuishi huitajika busara na uvimilivu wa hali ya juu) na ni vigumu kuchukua reaction moja kama ndio chanzo cha ugomvi au kama fact ya kusema kwamba fulani hafai.

For ever force, there is a counter force. For every negative there is a positive. Force action there is reaction. For every cause there is an effect
 
Chezea mimi Lizzy,sio kila mwanaume hajui kupika

Hahahaha kumbe wajua? Sasa ulimshangaza kwa kukuta umejitendea haki badala ya kulala njaa au kwenda kula mabandani?

Alafu mie nnaowajua wengi wanajua kupika, NAWAHESHIMU.
 
There is Always Two Sides in Every Story...

Mpaka mtu afikie kufanya jambo fulani lazima kuna kitu kimemfanya afanye hivyo.., watu huwa hawabadiliki na kuwa machizi all of a sudden (kinachofuka ni moshi lakini huenda ndani kuna volcano).., hivyo basi ni vigumu kwa mtu wa nje kujua sababu au ni nani mwenye makosa bila kupata facts zote... (wanawake wanasamehe lakini hawasahau) huenda ametendwa kiasi cha kutosha na hili la kunyimwa pesa ni last nail in the coffin..., hasira na chuki iliyosababishwa na mengi sasa ndio inaanza kujitokeza (hivyo basi ili wawili kuishi huitajika busara na uvimilivu wa hali ya juu) na ni vigumu kuchukua reaction moja kama ndio chanzo cha ugomvi au kama fact ya kusema kwamba fulani hafai.

For ever force, there is a counter force. For every negative there is a positive. Force action there is reaction. For every cause there is an effect
Kuwe na ugomvi or not huwezi KUMNYIMA mwenzi wako chakula, tena alichonunua yeye. Kama una chuki nae, pika usimkaribishe ajitengee mwenyewe atakapoona inafaa na sio unamnyima kama mtoto tena wa kambo.
 
hahahaha lizzy ni kweli kabisa wanawake wengi tunachangia hayo mambo,hata kama hana kazi but alipaswa kuridhika na kile alichojitahidi mwenzie kukileta nyumbani,kwa mwanamke mwenye akili angepikia hata kuni ama kukopa mkaa kwa siri ili kum2nzia mumewe heshima sio kumnyima chakula alichokitolea jasho.ningekua namjua huyo baba ningemtafutia dogo dogo lol

You mean na we ni mmoja wao au?? lol
 
Mie wa kwangu hanipi chochote, hata gari yake nkitaka kupanda lazima niweke mafuta kwanza, lakini NAMPENDA tuu, tena sana. Na nikipika chakula kitamu, lazima yeye ale wa kwanza, lol. What a loving wife i am, tehe.
kwa kweli we ni mfano wa kuigwa, nilivyo na hasira za haraka, ngoja niwe mla kozi tu hapa, nipo bench moja na bishanga!
 
Kuwe na ugomvi or not huwezi KUMNYIMA mwenzi wako chakula, tena alichonunua yeye. Kama una chuki nae, pika usimkaribishe ajitengee mwenyewe atakapoona inafaa na sio unamnyima kama mtoto tena wa kambo.

Hivi unaanzaje kumyima mumeo chakula??
Na akisusa mazima asiwe anakula nyumbani, utamlaumu nani?

Kama mtu anashindwa kumsupport mwenzie kwa issue ya mkaa tu...... huko kwingine sasa ni disaster tupu!! Hata kama amefanya makusudi, you can't capture his mind kwa namna hiyo......sana sana ni kutengeneza magape kwa matatizo mengine, tena kama ukikuta mwanaume mwenyewe ni wale nunda.......mbona utachemka mwenyewe atii!!
 
Ndo mwenyewe nimeshangaa. Mtu yeyote unaeishi nae nyumba moja (ndugu, rafiki, msaidizi wa kazi) sio sahihi kabisa kumnyima chakula. Mie kama nimekasirika sana kitu ambacho sitofanya ni kumtengea tu (unless ni mdogo kiumri) ila nikishapika ntamwambia kabisa karibu chakula/chakula tayari hata kama tulikua hatujaongea kutwa. Baada ya hapo akila au asipokula itakua ni kwa maamuzi yake na sio yangu.
 
Kuwe na ugomvi or not huwezi KUMNYIMA mwenzi wako chakula, tena alichonunua yeye. Kama una chuki nae, pika usimkaribishe ajitengee mwenyewe atakapoona inafaa na sio unamnyima kama mtoto tena wa kambo.
You know huwezi its too a stong a word... I am not saying its okay lakini people sometimes are pushed to do inhuman things.., kuna ndoa huwa zinabadilika na kuwa vita, kwahio kama issue ni kutafuta solution inabidi kutibu chanzo na sio matokeo..

Hatuwezi kujua labda jamaa anasema hana pesa ya mkaa wakati anapeleka pengine, labda akija akakuta chakula anasema hakifai na ameshiba baada ya kula nyumba ndogo.., hatuwezi kujua labda amekataa kabisa kuleta matumizi ya aina yoyote..., hatuwezi kujua kama hicho chakula ni kweli amekinunua.., hatuwezi kujua maybe katika hii vita kwa mke kumyima chakula ndio only way kwake kuonyesha hasira zake kwa mwenza wake...

Alafu hili la kumyima chakula ni kwamba walikuwa akakuta kimekwisha au alikiona mezani wakasema wewe hakuna share yako (which I doubt as knowing wanaume angeambiwa hayo maneno pangechimbika) alafu kauli zinazotoka wakati wa ugomvi sometime watu wanasema tu and they dont really mean it am sure kama kipo mezani akaambiwa hakuna share nadhani angechota akala sidhani kama angerushiwa mchuzi wa moto.
 
Lizzy umenikumbusha ile ya mama watoto anamwambia baba Mafuta ya kupikia na unga vimeisha anaambiwa fanya maarifa
Hivi ni maarifa gani hayo ?
 
Lizzy umenikumbusha ile ya mama watoto anamwambia baba Mafuta ya kupikia na unga vimeisha anaambiwa fanya maarifa
Hivi ni maarifa gani hayo ?

Hahahaha. . . mama wa kwanza kukung'uta mifuko/vindoo vya unga na madumu/vichupa vya mafuta ni maarifa. Kukopa ni maarifa, kwenda kwa jirani ambae ana kawaida wa kukimbilia kwako akiwa na shida ni maarifa, kukoroga uji badala ya ugali ni maarifa.

sunWu. . .haya!!
 
Last edited by a moderator:
ok Lizzy nimekuelewa dah wanawake tuna tofautiana sana aisee....ntakuadhibu kwa style nyingine si ya kukunyima chakula cha mwili wala cha roho aisee
 
Back
Top Bottom