Dah. . .wanawake wengine bana!!!

Mh!Lizzy ujue ni kazi sana kuishi kwa style ya kutochangia kwenye jamii hii ya dotcomu,unaweza tengwa flan hivi.All an all namkubali sana mtu anaeishi kinyume na mazoea,big up kama ni kweli. . . .

Ahh wapi! Kuoa/kuolewa wewe afu wengine tukuchangie! Nani kasema bana! Ukichangiwa kumtunza mwenzako usilalamike! Imefika wakti sasa kujigharimikia nyie wenyewe! Kama unahitaji harusi ama send off basi jua kuwa hilo jukumu lako! Sisi ukitualika twaja na zawadi zetu tu! We fikiria kila mwaka marafiki wangapi wanaoa/olewa! Ukisema umchangie kila mtu watoto wataenda shule kweli? Mtu unakuta hata ajui atakula nini eti naye anajitutumua na harusi/send off! Lazima? Si mwende kwa mchungaji/padre/shehe mkamalizane mrudu kwenye ujenzi wa taifa! Acheni kuiga vitu zingine bana. Tena kwa kuiga waTZ ndo tunaongoza! Juzi eti napita mtaani nakuta maandamano ya mazishi na tarumbeta juu! Dah! Kaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
Kwanini iwe kazi?
Kazi inakuwepo tu kama na wewe ni bingwa wa kupelekea wenzako kadi. Mimi kabla hawajafikiria kunitenga nilishajitenga. Mambo ya kupangiwa mpaka kiasi chakuchangia kama vile nanunua kitu sifagilii.
jeuri wewe.
 
ina maana harusi yangu hutanichangia?
 
Nichangiwe ya kazi gani?
Hiyo harusi itaendana na uwezo tulionao mimi, mwenzangu na familia zetu. Kama ni wa chai na maandazi, basi ndicho watakachoambulia waalikwa, kama ni kulisha pilau watu 20 basi wataalikwa hao tu.
siji ng'o!
 
Hahahaha kumbe wajua? Sasa ulimshangaza kwa kukuta umejitendea haki badala ya kulala njaa au kwenda kula mabandani?

Alafu mie nnaowajua wengi wanajua kupika, NAWAHESHIMU.
wataje.....of course baba A hajui.
 
Wanawake wa aina hii ni wengi sana tu, kuna uzi mmoja ulianzishwa kitambo sana sikumbuki vizuri issue ilikua kama hii yani mwanamke mchungu sana kutoa pesa yake kununua vitu vya ndani kisa mume yupo.
Kuna dada mmoja ana kazi nzuri sana lakini huwezi amini hata luku iiishe umeme uwazimikie haendi kununua atakachofanya anampigia mumewe simu akirudi nyumbani aje na luku.......yanii ana diriki kukaa gizani na watoto kuliko kutoa pesa yake akanunue luku si umasaburi huu! Watu kama hawa kipigo chao pale mume anapo RIP ndio wanashika adabu,ubahili wote unaisha nyamafuuu!
 
Labda aligundua mumewe kapeleka hela ya mkaa nyumba ndogo so aliexpect ale huko huko kwa bi mdogo! Lols!
 
Hahahaha kumbe wajua? Sasa ulimshangaza kwa kukuta umejitendea haki badala ya kulala njaa au kwenda kula mabandani?

Alafu mie nnaowajua wengi wanajua kupika, NAWAHESHIMU.

Sasa niende mabandani kwa nini? jiko la gesi lipo
 
Wanawake wa aina hii ni wengi sana tu, kuna uzi mmoja ulianzishwa kitambo sana sikumbuki vizuri issue ilikua kama hii yani mwanamke mchungu sana kutoa pesa yake kununua vitu vya ndani kisa mume yupo.
Kuna dada mmoja ana kazi nzuri sana lakini huwezi amini hata luku iiishe umeme uwazimikie haendi kununua atakachofanya anampigia mumewe simu akirudi nyumbani aje na luku.......yanii ana diriki kukaa gizani na watoto kuliko kutoa pesa yake akanunue luku si umasaburi huu! Watu kama hawa kipigo chao pale mume anapo RIP ndio wanashika adabu,ubahili wote unaisha nyamafuuu!

Dah. . .kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Yani mtu kama huyo anaweza kudiriki hata kuwashindisha watoto njaa kisa baba hajaacha/hana pesa.

Purple haitoshi bana. . .huo ni uchoyo wa ajabu.
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom