Dah Single Mother Watamu Sana

Dah Single Mother Watamu Sana

Wana akili Sana ya maisha na wanajali mwanaume saaaaana

Hata mimi nawapenda saaaaana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nikwambie kitu bro, kila mwanamke ana akili ila matumizi ya akili yake kwa 100% hufanyika pale ambapo hana option zaidi ya kuzitumia hizo akili tu!

Ila akiwa still ana options utazifurahia hizo nyodo zake! Mwanamke awe analipa + chura, hajaolewa ila yupo kwa safe ages bila mtoto mapoz lazma, akiwa na kazi ama biashara ndio dah lazma uutambue uongozi!

Kimbembe akivikosa hivyo (halipi) akawa doro tu huku jioni inaanza kumfika...utashuhudia tabia za malaika duniani!😁😁😁😁😁
 
😁😁😁😁😁 manengelo wangu sana! I wish i kudu be IGP!!! Kuna watu wanachezea lulu.
Mane hata wewe pia upo kwenye raiti traki ya kutubadilishia avatar yako, mara utuwekee jicho, mara kidogo umemuweka bi kiroboto naona leo umetuwekea kifua cha mabadiliko.
Mabazazi yanakuangalia tu halafu yanasema hiiiiiiiiiiiiii.


Maendeleo hayana chama
 
Ni nini hasa sababu ya kuwa na frastuations?
My sisy ni single mom...ana watoto 3..kiuhalisia mm ni mpiganaji ila najiwekaga kwenye viatu vyake huwa napwya mbaya...imagine watoto wote wale...wavae...wasome...na wanavaa balaa...wanakula vzr mnooo balanced diet..!huwa namwangaliaaa ..ila mara nyingi ana fruastuations sana !
 
Jirani zangu hapa wana stress za kufa mtu kwasababu ya ndoa yao (wote mke na mume) hawaelewani mume analalamika mkewe hajampa harage mwaka wa tatu sasa


😂😂😂😂😂😂😂 hyo kali...!aongee na yf fresh..
 
Ni wazuri kwa kubadilishana mawazo na mahitaji mengine,ila kuhusu kuoa hapana.
 
aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo tatizo virungu tuu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom