Dah Single Mother Watamu Sana

Dah Single Mother Watamu Sana

Bora kuwa na single mother kuliko midangaji ya Town... Moja nililita ghetto ***** lilifakamia Robertson 5 bila kulewa .. Hapo sijataja bia na kuku.

Papuchi yenyewe hovyo hana vitu kitandani.. Mwisho likanipiga mwiba wa 50,000 eti nauli ya uber , nikamwambia hiyo nauli unaenda kupanda Boeing ya kwenda Malaysia...


Yaani bora single mamaz Mara 78,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha aseeeh
 
Huyo anawasema hao wamama umri wake unaruhusu kuwasema hadi atakapokutana na ndoa na changamoto zake ndipo atakapokuja kucomment vizuri vijana malizeni shule kwanza then muingie ndoani upate mwanamke wako wa chuo mje muishi. Juzi napiga story na dada mmoja daktari ameolewa anawatoto wawili kuna rafiki yake mdada anamtoto mmoja ni single maza akapata mtu wa kuoana nae cha ajabu yule dada daktar anashangaa kwa nin anataka kuolewa tena wakati anamtoto na anamaisha yake anasema angekua ni yeye asingekubali kuolewa tena nikamuuliza kwa nin kwanini anasema ndoani kuna mambo mengi sana usione watu wanafuraha kwa nje.
 
Nimepitia comment zote nimewajua watu wenye moyo wa kulea watoto wa wenzao kwa huruma na wenye roho ngumu.
 
Surely aisee yaan wanafanya utasema wanatokea dunia tofaut na yetu vile.
They are independent Woman na wana maisha yao as long as analea mtoto mwenyewe huyo ni wa maana kuliko Mwanaume aliemkimbia.
Frankly speaking most of them wako na matured mind sana.
Upo sahihi kiongozi!!
 
Mane hata wewe pia upo kwenye raiti traki ya kutubadilishia avatar yako, mara utuwekee jicho, mara kidogo umemuweka bi kiroboto naona leo umetuwekea kifua cha mabadiliko.
Mabazazi yanakuangalia tu halafu yanasema hiiiiiiiiiiiiii.


Maendeleo hayana chama


😂😂😂 kwamba Tulia ni bi kiroboto😂😂😂..i live my life jombaa...!kampeni zimeqnza nami nimeikumbuka..!zungusha mikonoooooo mabadilikooooooooooooooooooo.......Lowasaaaaaaaaaa...dadek...those moments bwana
 
Back
Top Bottom