Dah Single Mother Watamu Sana

Dah Single Mother Watamu Sana

Nakazia!! Wanaume tunazingua kichizi, sie tunaishi kwenye jamii so tunayaona haya japo watu wachache humu wanafata mkumbo wa kuwakandia single mazas.. Ursine tunashuhudia mengi, sisi ni mashuhuda, kama sio sisi wenyewe, yaweza ikawa rafiki zetu, jamaa zetu hata ndugu zetu wameshazingua.
You nailed it bro...respect to all women out there,halafu in reality sisi wanaume ndo tunazingua sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema ww mkaka...kuna jibwa moja juzi limewatombokea balaa...!huyu hajakutana na masingo mazaz wanaojitegemea kwa kila kitu...utawatamani ww ambaye unajiashua una ndoa!wanaishigi to the fullest..msaidie single maza ajitegemee basi..
To the fullest kwa kutembeza ngenya na kudanga!?
 
Ukisoma vitu vingi huku utajua mawazo ya Vijana wa kitanzania.Ukweli ni masikitiko Sana Kwa aina ya kizazi hiki hofu yangu kuu ni kukosa viongozi wema wa baadae na Tanzania kuchukuliwa na umoja wa mataifa na kukabidhiwa Uingereza mpaka tutakapokuwa na akili tupewe uhuru
 
....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna factors nyingi sana zinasababisha single mothers, mf vifo, kuachana, udanganyifu nk nk, kitu ambacho nataka kukuambia ww mleta uzi ni kuwa kama una dada, mtoto wa kike nk hali kama hiyo uitegemee, ni kama kifo, hv unajua kuna ndoa zinadumu muda mfupi na kuachana, usitukane mamba kabla hujavuka mto, una uhakika gani kama ww utatangulia kufa, mkeo si atakua single ? Au haya huyajui ?
 
Back
Top Bottom