Dah Single Mother Watamu Sana

Dah Single Mother Watamu Sana

Kwakuwa anaishi maisha yake na analea mwanae/ wanae na maisha yanasonga nampa heshima kama binadamu mwingine yeyote

My sisy ni single mom...ana watoto 3..kiuhalisia mm ni mpiganaji ila najiwekaga kwenye viatu vyake huwa napwya mbaya...imagine watoto wote wale...wavae...wasome...na wanavaa balaa...wanakula vzr mnooo balanced diet..!huwa namwangaliaaa ..ila mara nyingi ana fruastuations sana !
 
Bora kuwa na single mother kuliko midangaji ya Town... Moja nililita ghetto ***** lilifakamia Robertson 5 bila kulewa .. Hapo sijataja bia na kuku.

Papuchi yenyewe hovyo hana vitu kitandani.. Mwisho likanipiga mwiba wa 50,000 eti nauli ya uber , nikamwambia hiyo nauli unaenda kupanda Boeing ya kwenda Malaysia...


Yaani bora single mamaz Mara 78,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema ww mkaka...kuna jibwa moja juzi limewatombokea balaa...!huyu hajakutana na masingo mazaz wanaojitegemea kwa kila kitu...utawatamani ww ambaye unajiashua una ndoa!wanaishigi to the fullest..msaidie single maza ajitegemee basi..
Hata single mother awe billionaire never ever labda kwa wanaume wa dar wanaopenda mteremko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My sisy ni single mom...ana watoto 3..kiuhalisia mm ni mpiganaji ila najiwekaga kwenye viatu vyake huwa napwya mbaya...imagine watoto wote wale...wavae...wasome...na wanavaa balaa...wanakula vzr mnooo balanced diet..!huwa namwangaliaaa ..ila mara nyingi ana fruastuations sana !
..."..ila Mara nyingi ana frustrations Sana..", Single mothers ni wanawake wenye frustrations wameathirika kisaikolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasahau kwamba hyo huyo single mother amemlea kamlipia school feees kampa mahitaj yote mpka to become the Man he is today....
Akiulizwa kitu utasikia am proud of my Mother halaf yet anakuja kusema mbovu juu ya single mother wengne, Shubaaaamit zao.
Jiwe limekutandika gizani,wewe wa kwanza subiri waje wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom