Dah! No true love

65% ya wana ndoa wenye zaidi ya 5yrs of marriage wana ishi sababu ya kuonekana ni couples but deep down there is no affection kati yao Bali ni conditional love na kuwalea watoto.
 
Dah! yani malezi nlopata na hulka yangu
Napata majonzi sana kuona hakuna aina ya wanawake nnaotaman kumpata

Nimefanya scout nyingi sana mpaka nlipokomea kwa huyu zote zimeprov failure


Hapa mwakani nafikisha 30 nlitaman sana nianze maandalizi ndani ya mwaka ujao nioe
 
Hata huyu hii kauli huwa ananijaza sana
Kabla sijakutana na hizi sms za jana
Ndo hapa nimepata picha
 
65% ya wana ndoa wenye zaidi ya 5yrs of marriage wana ishi sababu ya kuonekana ni couples but deep down there is no affection kati yao Bali ni conditional love na kuwalea watoto.
Sure
 
Unahisi yameisha mkuu, anakulia timming nawewe atakuliza soon.😂😂😂
Dah huyu bhana hana mambo hayo kabisa. Mi wanawake nawajua sana nshachafua chafua sana lkn kwa huyu hanaga kabisa hizo mambo. Simtetei.
Ni mwanamke wa kipekee sana.
Japo sitakiwi kuweka mia kwa mia ile kibaharia baharia.
 
Pole Sana kijan, I feel the pain you feel.

Mrejesho plz, vipi umemuuliza chochote na response ipoje??
 
Yani kwa mabinti wa sasa hivi huwezi kuwa peke yako ukimchunguza tu lazima uumie.
 
Faza yaani miaka 30 tu ndio unapata moto hivyo!? Enewei, kila mtu na mipangilio yake. Nina 30+ sasa ishu ya kuoa naifikiria ila haijawa kipaumbele bado
 
Umesahau waongeze na makonzi


Kingsmann
 
pole mkuu bt maumivu unayopitia ni ajili ya kuingilia privacy za watu, ukishampenda mtu kinachofuata muamini kisha uangalie kama anakutreat vizuri inatosha, mambo yakumfuatilia utakuja jisababishia matatizo bure
Sasa Kama mke wako au mtarajiwa na unantunza usichunguze.!???

Mara moja moja muhimu Sana.
 

Utakufa bure wewe mapigo ya moyo kisa mpenzi bora ukauze iyo simu unywe bia zako ukalale gesti na mwajuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…