hata mimi sijataka kila mtu awe dangote.Hatuwezi Kua kina Dangote wote lazima wengine tuwe chini ili heshima katika maisha iwepo
Kinachouma nini unajua,utakuta mtu umemchukua yupo kama moja imagine then anondoka ana 8 utajiskiaje😃😃😃 kwani mnatesekaga nini lakini????
Yaani mnahaha ma Ex wenu wakipata wengine..
Wewe ukisema "cha nini?" wenzio wanasema "watakipata lini?"
hakuna chakusafiria nyota wala nini, kila mtu anafungu lake hapa duniani.Sio roho mbaya..Alitaka atembelee nyota yangu tu na kafanikisha
[emoji3][emoji3][emoji3]Imenitokeaga na mimi kwa JAckie wangu matokeo yake kaolewa na tajiri tena mwenye bunduki.