Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

Pray that your enemy has a long life, So that they'll witness your blessings..
 
Imenitokeaga na mimi kwa JAckie wangu matokeo yake kaolewa na tajiri tena mwenye bunduki.
hukujua ni daladala ukishuka mwenzako anapanda eti kuna kamsemo ni halua haina makombo
 
Usimuombee mtu mabaya huwezi jua kesho anaweza kuwa msaada kwako,...pole sana inabidi upambane na hali yako afu ulisahau kale kamsemo " usishindane na mwanamke pedeshee atamuhonga Noah"🤣🤣🤣🤣
 
Usimuombee mtu mabaya huwezi jua kesho anaweza kuwa msaada kwako,...pole sana inabidi upambane na hali yako afu ulisahau kale kamsemo " usishindane na mwanamke pedeshee atamuhonga Noah"🤣🤣🤣🤣
Ndo unapiga vijembe au?
 
Mimi huwa najiskia amani pale napomkita x wangu kwenye neema tupu huwa najipa moyo kwba utajiri hauhitaji leseni kuzimilik huenda kesho ikawa zamu yangu
 
Nilidhani atateseka ili awe na adabu cha ajabu kaolewa na jamaa tajiri mpaka roho inaniuma.

Poa bwana ila freshi tu yote maisha.
Dah kweli uchawi sio kologa tu, hata roho mbaya.
Sasa wewe ushaachana nae alafu unaendeleaje kumfuatilia!?
Ulitaka aendelee kukufuatafuta na kukupigia magoti mkuu!?
 
Kwahiyo angeolewa na maskini roho yako ingeridhika? Huo muda wa kufatilia watu ulioachana nao unautoa wapi?
 
Mkuu naomba namba ya uyo dada ntamnunulia hata kuku tu alambe afu atupe amekukomeshaaa na wanaume wenzio
 
Nilidhani atateseka ili awe na adabu cha ajabu kaolewa na jamaa tajiri mpaka roho inaniuma.

Poa bwana ila freshi tu yote maisha.

Wanawake tuna mahesabu yetu usituone tupo tupo tu
Pole lakini
Mwanamke hakomeshwi [emoji4]
 
Back
Top Bottom