Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

Dah! Nilivyomuacha tu kaolewa na tajiri

Sik
Sikumuombea mabaya...ni katika hali ya kuwekana sawa kitabia
Ni vema ulimwacha, angeanza yeye ungeumia zaidi. Ukiona panya anakukenulia meno jua shimo liko karibu. Mabadiriko ya tabia aliokuonesha tayari alisha kutana na huyo tajiri.
 
Nilidhani atateseka ili awe na adabu cha ajabu kaolewa na jamaa tajiri mpaka roho inaniuma.

Poa bwana ila freshi tu yote maisha.
Yaan asilimia 90 ya wanaume wakimuacha mwanamke wanafurahia waone anamlilia, amechakaa
Hiyo ilikua zaman Sasa hiv tunasonga mbele Kama injili na furaha teleee
 
Acha ujinga zidisha kujipendekeza wewe.

Huyo tajiri ale limbwata amkabidhi hela na hazina yake hakikisha weye hapo unazalisha mitoto kibao.

Uwe makini na bunduki ya tajiri. Demu ulisha mkojolea hana ujanja

kama ulinuna shauri yako utakosa mengi mke haachwi kifara wewe huo ni utajiri wenu.
 
Me nikiachana na mtu hata sms yangu ya mwisho huwa namtaki mema tu. Itakuwa nina shida pahala...
 
Back
Top Bottom