Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,231
- 83,215
Fz patawafaa ila kuna chimbo moja tamu sana linaitwa π Movies Archive - TodayTvSerieskama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zaoππ, anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.πππ
Tumia wifi tu na vifurushi vya postpoidmkuu hiyo inakula bando hatari
Labda wameogopa kilichowapata waanzilishi wa the piratebay. Kutumua kazi za sanaa za watu bure ni kesi kubwa inaweza kukuweka ndani ma miaka. Huenda wamepewa onyo maana kuna muda hadi serikali na vyombo vya usalama vya marekani vinaingiliaga kati issue kama hizilabda utuelezee tuelewe mkuu kwa lugha rahisi
ππ Naomba link kakakama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zaoππ, anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.πππ
Kuna wale jamaa wa Hesgoal wamepigwa mvua ya miaka 11.Pirates. Acha. Walivoweza kumkamata mtu wa kickass nikasema shikamoo USA.
Yaani US wako serious. Unakuta hadi FBI wanaingilia. Utaruka ruka kubadirisha saver ila utaingia tu kwenye 18.Kuna wale jamaa wa Hesgoal wamepigwa mvua ya miaka 11.
Hivi Telegram wanaweka hadi 1080?kama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zaoππ, anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.πππ
Marehemu alikuwa haringiπDunia inamengi, mi ndo nasikia leo iyo netnaija
[emoji91]Nkiri.com
kama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zao[emoji1][emoji1], anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.[emoji16][emoji16][emoji16]
Baadhi ila mara nyingi 720Hivi Telegram wanaweka hadi 1080?
Link tafadhali.
Outside General
Main channel link:T.me/outsideshows Channel meant for all general channel activity or posts.. Entertainment, betting (π), Talkshow etc. DM @Nielo714 for promotion and Advertisements.t.me
nyingine hii ila sijaona link ya so uta isearchLink tafadhali.