Alirudi kwa muanyezi akaacha nyimbo...... maisha yakawa nadhani hayaendi akarudi na kukuta mashabiki walishamtosa....Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani. Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?!!!!
Yani wanaume wazima tukae hapa kujadili taarabu? Hebu tuheshimiane kidogo.Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani. Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?!!!!
Ana nyimbo mpya kwaniHasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani.
Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
Na yeye aulizwe kama CD zake alivunja sasa yeye nyimbo zake za zamani anatoa wapiAliacha taarabu kwa mbwembwe sana na kuwataka mashabiki wavunje CD walizonunua ati hataki kushea nao dhambi(utadhani pesa aliwasaidia kutafuta)karudi kakuta mashabiki walishamsahau zamaaniii
Si wazee walisema alidhulumiwa kila kitu akabaki kapuku?Alirudi kwa muanyezi akaacha nyimbo...... maisha yakawa nadhani hayaendi akarudi na kukuta mashabiki walishamtosa....
Neno Bidaa umetumia kimakosa hapa, ulipaswa utumie neno dhambiNjaa imemfanya amkane Mola arudi kwenye Bidaa
akapotelee mbali huko, hivi inakuwaje mwanaume mwenye mbegu kabisa unaimba taarabu? unalegeza sauti na vidole juu.Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani.
Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
Alipata vijimilioni vyake mia kadhaa akaona hazitaisha hadi kufa kwake. Baada ya miaka miwili mitatu hela zikaisha na njaa ikamnyemelea. AKASEMA KULIKO KUFA HAPA KWA NJAA NI BORA NIRUDI "MSITUNI"Aliacha taarabu kwa mbwembwe sana na kuwataka mashabiki wavunje CD walizonunua ati hataki kushea nao dhambi(utadhani pesa aliwasaidia kutafuta)karudi kakuta mashabiki walishamsahau zamaaniii