t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,120
- 16,967
Hapo umemtamani , uzuri ni neno pana asee, kuna watu Wana mionekano mibaya Sana nje , lakini deep inside wako vizuri, na wengi wao ndo wanolewa , unamjua ndani Zaid sister?mwonekano
Sent
Hapo umemtamani , uzuri ni neno pana asee, kuna watu Wana mionekano mibaya Sana nje , lakini deep inside wako vizuri, na wengi wao ndo wanolewa , unamjua ndani Zaid sister?mwonekano
sasa mkuu mbona unauliza swali la kiteja, nimjue ndani zaidi ili iweje au wewe unawajua ndani madada zako?Hapo umemtamani , uzuri ni neno pana asee, kuna watu Wana mionekano mibaya Sana nje , lakini deep inside wako vizuri, na wengi wao ndo wanolewa , unamjua ndani Zaid sister?
Sent
Wapi nimemsifia kuwa dada yangu Ni mzuri? Huwa tunasifia vitu ambavyo tuna capacity navyo , dada , mama , shangazi Ni beyond our capability hao unaacha Kama walivyo, sio sheria though maana Kuna baadhi yetu humu wana access na dada zao.sasa mkuu mbona unauliza swali la kiteja, nimjue ndani zaidi ili iweje au wewe unawajua ndani madada zako?
Licha ya hela, ni wanaume haswa(kumbuka mwanaume hasifiwi sura) na wanajua sana mapenzi, na hamna msongamano sanaHahaa Unamaanisha wanaume wenye sura ngumu wanahonga hela kirahisi LadyRed