Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

Haaa ila siku shangai ndio maana kwenye avart yako umeweka picha ukimsuka mwanamke kuwa Kwanza maana daa kwa akili yako hiyo mhhh!
 
Natumai hamjambo wakuu

Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.

Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda

Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
Usimcheke mamba ungali bado hujavuka mto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom