Kama si dishi kuyumba basi ww si rizikiNatumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda
Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
Ukiangalia hii ya huyu binti ndipo utajifunzaNatumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda
Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
Sura Nzito.Natumai hamjambo wakuu

sawa mjumbeHivi dadako angekwambia kampenda jamaa kwa sababu ana mashine inasaga na kukoboa papo kwa papo ungejisikiaje? Mambo mengine unayaona unakausha tu kamanda![]()
mwonekanoUzuri wa dada ako unaupimaje mzee?
Sent
kumbe nawe unayo ngumKama si dishi kuyumba basi ww si riziki
sawa dada msalimie shemej yetu sura ngumKikubwa heshima na upendo sura pambo tu.
Ila Mwanaume kuwa mshakunaku hata hainogi
kumbe nawe unayo ngumuatakuwa shoga huyu jamaa mambo ya dada yake yy anataka kuyajua ili iwaje na mume wake fara kweli jmaa angu
Wenye sura ngumu wana roho nzuri
Wewe una sura laini..!??Natumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda
Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
Siwezi kuwa na shemeji kama wewe,shemeji sikujua kama upo huku samahani
sasa mbona unapovuka, kama una sura ngumu siutulie tuSiwezi kuwa na shemeji kama wewe,
California love