hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,604
- 73,982
basi kama wewe ni mzee then wapost vitu vya kijinga kama hivi. ..itakuwa unashida pahalaungeangalia avatar usingeniita kijana
basi kama wewe ni mzee then wapost vitu vya kijinga kama hivi. ..itakuwa unashida pahalaungeangalia avatar usingeniita kijana
mkuu sijacheka bt nimesema uhalisia, mzuri husifiwa kwa kuambiwa mzuri bt mbn mbaya akiambiwa we mbaya hununa kwani sio uhalisia wakoUsimcheke mamba ungali bado hujavuka mto.
Uzuri na ubaya wa mtu upo machoni mwa mtu.mkuu sijacheka bt nimesema uhalisia, mzuri husifiwa kwa kuambiwa mzuri bt mbn mbaya akiambiwa we mbaya hununa kwani sio uhalisia wako
Si kwelisi wanaogopa kuachwa
hahahahahhahah mm hapanatayari, karibu nawe nikusuke ka hutojali
Wasambaa wanasema hivi...Natumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda
Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
wapi nimeandika kujisifia uzuri mkuu? kwani mtu kuitwa mbaya ni tatizo? mbona wazuri huambiwa we mzurikubali kataa ww ni shoga Tena wa kinondoni.najua wanaume tunazidiana ila sio rahis ukute mwanaume anajisifia kuwa yy ni mzuri hata kama ni kweli.ila mwanaume ambae sio ridhiki kama we ni simple tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekanaWasambaa wanasema hivi...
"Kofia baya jina mtwi wakwe"
Maana yake ni kila mtu na wake
Wewe ukisema kwanini yeye anasema nitampata vipi
Isitoshe wengine wanashawishika na mapenzi ya mtu kuna watu ni handsome kwelikweli lakini kwenye mapenzi wachovu kweli yaani....so huenda dada yako alimpenda shemejiyo kwa sababu ya ulijali wake anamkuna hadi kwenye maini...niishie hapo
hata sina shida pahala bt nimejifunza kile unaona sawa wenzako huona cha kijingabasi kama wewe ni mzee then wapost vitu vya kijinga kama hivi. ..itakuwa unashida pahala
Natumai hamjambo wakuu
Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu.
Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka usipende kudharau watu hivyo coz hakuna aliyetaka kuwa alivyo hivyo jitaidi kuwaheshimu watu kama walivyo coz wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, ilibidi nimwombe samahani kama hajapenda
Mwisho niwapongeze wadada wote walioolewa na sura ngumu kwa uvumilivu wa pekee walionao japo wanapitia changamoto nyingi katika jamii zinazowazunguka
usijali sintokutoza pesa