Ndo maana wahenga walisema Love is blind....lol... Yaani to you s/he so perfect husikii wala huambiwi!!
we acha halafu umkute mtu mwenyewe mambo yote anachukulia kirahisi rahisi roho itakusimama mpaka ujute aliyetengeneza mapenzi angejua toka mwanzo angeacha tu!
Hujamsoma daughter eeeeMi nakataa mbona matahira na vichaa hamuwapendi, na mwanamke anaanza kupenda baada ya kutongozwa
Kesho tuandalie somo la kutamani na kupenda
Mi nakataa mbona matahira na vichaa hamuwapendi, na mwanamke anaanza kupenda baada ya kutongozwa
Jamani your gal friend umtafutie visa?? C'mon... and preserve that nerve.....lol... Taking in mind he is a married Bachelor.
Mwambie partner ajiandae tarehe 24 Celebrity wa Mpwapwa anakujahahahaha! Partner wangu nyamitusi? Lol!
Mapenzi upofu eeh?
Chauro ukianza kugungua anakuboa... Then love ishaanza kuyeyuka hio.....lol... Yaaani wee unakua huoni....
ha ha ha, married bachelor aka MBA(Married But Available)
Mie yalinishinda, kufa na kijiba cha roho ila ukisema presha hupingua na kuanza kumuona wa kawaida.
etieeeeeee si unajua mapenzi upofu mpenzi ukiambiwa cheusi unaendelea ngangani cheupe ukija zinduka mpaka mabawa yameyeyuka ...............mie nahisi kupendwa kutamu zaidi!
["I think I am in LOVE" ila sio kiviile moyo wangu ushakuwa sugu sishtuki shtuki ovyo .simiss kiviile akiwepo poa asipokuwepo poa tu ,kazi napiga kama kawaida yaani aniaffect kiviile but anatouch maisha yangu vyovyote anavofanya naona sawa tu ila namshukuru mungu i think ananipendapenda kweli maana ......................................................
ni kweli sijiachii tena kiviiile nipo kimachale machale loh?hii ni dalili ya kusema ushawahi penda ukaumizwa sasa upo makini zaidi for unaogopa kabisa kuumizwa tena.... Am i wrong??
mmmh!! Chauro mie naona kupenda raha zaidi,.... Sasa hio ikiambatana na kupendwa.... Asikuambie mtu.... Heaven on Earth! lol
Discuss
Tulizo I am not surprised... Infact i know that for a fact tokana na maelezo ya post zako (thou sio love related) Umekumbuka siku ile nikasema sijui niseme kama una bahati ama bahati mbaya..... Yaani wewe ni moja ya member ambae nikiona baadhi ya topics hapa MMU, I think about... uko kind of mysterious.....
Dada,Love is the friendship that cautht fire.It take roots and grows one day at the time.INFATUATION is marked by a feeling of insecurity.It says"we must get married right away,i cant risk loosing u".It has an element of sexual excitement,Kwa kuongeza dada,ni kuwa mimi nilizungumzia hali ulizozungumzia wewe kuwa anakua mapenzini nikaja na mtazamo tofauti kuwa ukiwa na hali hiyo unakuwa hauko mapenzini bali ni mhemko inayosababisha aina ya ukichaa,na ni ugonjwa unahitaji tiba sio kuukumbatia kama ulivyosema mwishoni.Halafu kingine ambacho umechanganya ni kujadili upendo na mtu kujihusisha na mahusiano,hivi ni vitu viwili tofauti,hapa tunapojadili upendo au hali anayokua nayo mtu mwenye hisia za upendo wa kweli huku akijua anachokifanya haiathiriwi na uamuzi wangu wa kutojihusha na uhusiano wa kimapenzi,mapenzi yapo tu hata kama siyafanyi,na matatizo yake yatajadiliwa na watu wote!
Then probably this is not love but i can define it as CRUSH["I think I am in LOVE" ila sio kiviile moyo wangu ushakuwa sugu sishtuki shtuki ovyo .simiss kiviile akiwepo poa asipokuwepo poa tu ,kazi napiga kama kawaida yaani aniaffect kiviile but anatouch maisha yangu vyovyote anavofanya naona sawa tu ila namshukuru mungu i think ananipendapenda kweli maana ......................................................
(]
yakikufika hata hutajua umejiachiaje....unabakia kujiuliza machale yalikuwa wapi?ni kweli sijiachii tena kiviiile nipo kimachale machale loh?
PA umesema vyema
Ila nahisi kuna kitu nakimiss hapa
Kuna wakati ukiwa kwenye love au unajihisi unaingia kwenye love or to love someone inabidi usahau kama ushawahi kuumizwa
Uone liffe has to move on hata kama kuna mengi yametendeka
It hard to do that ila sometime to make life easy u have to do that