Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Ndio ashadii, point zako ziko mulemule aisee, yaani unaweza hata kupungua uzito hasa pale unapopenda kwanza kabla muhusika hajawa na wewe, hapo ndipo utakapoamini kuwa kweli "mapenzi yanarun dunia" sasa cha ajabu unaweza pitia kipindi kigumu kabla ya kuwa na muhusika once ukiwa nae wengi wanarudi normal na wengine hadi kujiuliza "mbona sio vile nilivokuwa naota na kuwazia?
yote hayo ni juu ya mapenzi
 
Yule binti i see ngoja nisubili miezi 3 kwanza ajanjaruke maana mtoto bado hajapigwa soap soap anang'aa sijui bro kamtoa wapi wallah
Kwahiyo mpwa unataka kutuambia Manka wa TipTop ndo inakula kwake mazima?
 
Yule binti i see ngoja nisubili miezi 3 kwanza ajanjaruke maana mtoto bado hajapigwa soap soap anang'aa sijui bro kamtoa wapi wallah



Hopefully kakako sio mtu wa mabinti....lol...
 
Hahaha amechuja mpwa nahamisha majeshi pale Zero pub vp usajili mpya?
Kuna vimwana vipya tokea Mbulu lakini hamna uzao wako. Labda uviwezeshe vinone kiaina.
 

PA umesema vyema
Ila nahisi kuna kitu nakimiss hapa
Kuna wakati ukiwa kwenye love au unajihisi unaingia kwenye love or to love someone inabidi usahau kama ushawahi kuumizwa
Uone liffe has to move on hata kama kuna mengi yametendeka
It hard to do that ila sometime to make life easy u have to do that
 

Asante Gaga dear, hio hapo ya kumpungua uzito ni mle mle kabisa!! lol,,, mtu hana hamu ya kula vyakula vyoooote vichungu...lol... Hapo in bolded black naungana nawe kabisa.

etiiii????


Gaga hapo usijali alijichanganya kidogo shem wangu wa Ukweli....lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…