Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Mhhh yeah true that
As as my sis he can tell me hapa usiende au hapa uende
Thank you
mmmh mama tuli? sijaelewa kabisa ni toka lini mama tuli kaja hapa mkuu ? ngoja nimuulize tf?

ashadii pls nawewe nisaidie mama tuli???????????????????????????/
 
mmmh mama tuli? sijaelewa kabisa ni toka lini mama tuli kaja hapa mkuu ? ngoja nimuulize tf?

ashadii pls nawewe nisaidie mama tuli???????????????????????????/

TF mnoko yule sana sana atakuambia umbeya
Hana maana kabisa
AshaDii kaenda sokoni atarudi usiku
Smile tuko pamoja wala hatujapishana maneno hapo
 
wife wako alisema alikuwa anamuuguza tf last wk, shem labda kuna sehemu anatoa huduma tena ask tf kwa news zaidi
Hadi wewe.......loh

TF mnoko yule sana sana atakuambia umbeya
Hana maana kabisa
AshaDii kaenda sokoni atarudi usiku
Smile tuko pamoja wala hatujapishana maneno hapo
Mama Tuli where you at? Njoo banaa fasta
 
Baada ya kusoma haya, ODM ana log off.
 
Baada ya kusoma haya, ODM ana log off.
hata mimi nakushjauri ivo loh
waraka mwingine bana
au shem wetu anavuta jani loh? ahahaaaa siamini macho yangu pole babu.
ila kumbuka amri za mungu usitamani mke wa jirani yako bwana SIR GOD mwenyewe aliliona hilo lloh
 

Aiseee umenikuna yaani umenikumbusha enzi za ujana wangu......i love this song.
 
What's bothering you sugarcake? Talk to me

Warning: Punguzeni haya majina kwa wadada, yanatuchanganya sana. Unaenda kwenye intavyuu unaulizwa jina lako nani, unasahau na kujibu: Sugarcake sweetpotato.
 
mhhhhhhhh ngoja Smile aje aone hapa na sijui kaenda wapi

Najua moto utawakaaa......ww unaulizia mwenzio kaenda wapi na ww jana ulivyoingia mitini!!!una deni langu,mm na ww mpaka kieleweke.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…