Beautiful As You-All 4 One - YouTube
That song goes to the lucky one hope soon atapatikana hapa JF......lol!!!
Can i take you out for dinner tonight???
Shem ADI na wote wenye mapenzi mema,
Naoma kuuliza:
Hivi waweza kumchukia mtu unayempenda?
Unajua Dada,huwa najiuliza swali,unapokuwa kwenye mahusiano kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi magumu kwenye wakati mgumu kama mgombea wa urais wa Marekani kwenye series ya 24,David Palmer alipotofautiana na mke wake Shery Palmer huku akijua anaweza kukosa urais,simhan katika hali halisi na ndoa zetu kama yupo anaeweza kufanya hayo!
A girl and a guy can be just friends, but at one point or another they will fall for each other... maybe temporarily, maybe at the wrong time, maybe too late, or maybe forever.......................................................
Sweetie AshaDii,
I am more than humbled for this post...amazed....how truthfully you could express our feelings....mutual feelings in this way!
Thanks darling....thanks...
Nikishasema hayo....huyu Hommie wangu namuona ona saaana hapa.....ndo anasubiri nife akurithi? Sifi Ng'o!
Naomba nieleweshe Eiyer... kufanya yepi exactly??
Love... I am short of words... I guess "I LOVE U" Will do for now......
Haaa nilikuwa wapi mpaka hii Topic iko 29 sijui nianzie wapi tena? morning AD ?
Najiandaa kupeleka posa kwa kina Smile and not Smile(s)Dogo hebu nibrief haraka sana kumetokea nini hapa wakati sipo?
Me? I'm scared of everything. I'm scared of what I feel, of what I've said, of who I am, but most of all I'm scared the way I feel when I'm with you.....................................................lohCan i take you out for dinner tonight???
And you know We are in LOVE already...cause I am ticking all boxes above....
watatokea wengi kwa jina langu lakini msiwaamini hao,amin amin nawaambieni .........................................Hivi, samahani wewe ndo SMILES ama tumtarajie mwingine?
A girl and a guy can be just friends, but at one point or another they will fall for each other... maybe temporarily, maybe at the wrong time, maybe too late, or maybe forever.......................................................
Umemuona sasa yeye alivo mjanja.... Kwa wenzie ni mbanaji hakuna mfano!! Wee ngoja tu mie naona ile dawa yake tumpe maana kisha pona hakuuna huruma hapa!!