Jamani yamekua hayo?? Mie thinking of your welfare bana.....lol.... Alafu hapo kwenye tender... ni tender gani vilee??
Yeah unfortunately I got banned...
Jamani yamekua hayo?? Mie thinking of your welfare bana.....lol.... Alafu hapo kwenye tender... ni tender gani vilee??
hahaha... Don't you like it that I am him?? lol
..Hapo Namba 2, kuna ka Wimbo kanaitwa HAKUNAGA, kameimbwa na Suma Lee, yaani hako kawimbo mpaka sasa sijui kwa nini kila mara najikuta tu nakaimba, popote nilipo nashtukia kamekuja tu from no where naanza kukaimba... duh
Mmhh...AshaDii kalaghabahoo naona tumeshapata jibu. Thx bro NN
Shukran kwa kunitia moyo at least nimefarijikaNarudia na sitachoka kurudia Sherrif.... A heart that has been blessed to Love, will be broken but eventually utamend na utafall tena... Baada ya mda gani exactly?? I don't know... But it will and by God's Grace you will fall again, believe me you....
NN is the template for mischief....
Habari yako Kivumah.... Hio hakunaga hio wee acha tu, BUT wimbo umetulia na una beats za kipekee sana na uko very entrapping....lol... Lakini hata hivo kama umekwepa vile kutoa ukweli behind the song....lol.... Chukua hio and enjoy....
Okayyyy......na Ally wa kitaa je?
Asha ananiona mi zuzu,we mwache tu,asubiri kengele zikilia,anameremeta,anameremeta ,ma tully anameremeta anameremeta....vigelegele jamani...kwa kwa kwa !!!!!!
Thank you for this maana naongeza siku zangu za kuishi........tenda ya kutafuta nyumba ndogo.
hahaha.... Hayo mambo ya Nyumba Ndogo nipo kutafuta Greda... akina baba watokoma pamoja na nyumba ndogo zao ambazo nina mpango wakuacha tu vumbi!!! lol
mimi jibu ni [Yes]
hapa bado. wakati wote nilijiona mkosaji. kila nikimuona nasahau hata nimsalimieje..nilijikuta nikiomba msamaha bila kosa. simu, niliweka mlimo wa peke yake. ilikua ikilia mapigo ya moyo yanakwenda kasi hadi mwili unakosa nguvu. wakati mwingine nilishindwa kupokea simu yake.
yote hayo yalinikuta na zaidi. ajabu kwamba sikuweza kuwa nae. niliumia sana nilipogudua kuwa,, yeye alikua hayupo kwangu.. yeye alikuwa kawaida sana na pengine huenda alihisi kuwa najipendekeza kwake. sasa ni miaka nane 8 imepita bado sijapona.. huwa wakati mwingine sauti yake inanisumbua..... ninayo furaha nikujuze kuwa, sijaweza kumchukia mpaka sasa. bali naamini sikua chaguo lake. kupendwa raha sana.
ningebahatika kuwa nae sijui ingekuwaje,,