Mama Tuli at the time being B' yupo peke yake you know? Alafu na wewe ni broken hearted...lol... You see what i mean??
Nimeweka bayana kabisa...hakuna discussion wala compromise kwenye cheating. Never. Kama mtu huwezi kuwa mwaminifu kwangu kwa asilimia 110 then kiss the relationship goodbye. That is not eccentric. That is knowing what you stand for and what you want.
Ujumbe mzito sana. Tatizo AshaDii, wengine mioyo yetu imeshakuwa butu, na haina real feelings tena kama zamani!
leo busy siku nzima nilikuwa nina cheat!Sorry,out of topic.....Bishanga jamani nilikumisoo ile mbaya ulikua wapi wewe???huwa nikisoma post zako nacheka sanaaa. Enjoy ur kinywaji.
habari yangu mbaya,niko chinga tayari,leo napiga valuu (ooops usimwambie Dena!),sasa haka kasmsung ka nokia kataona vipi hiyo avatar? embu iache ikae angalau masaa 48 iniliwaze,it looks familiar to someone i fondly remember!!!!!!!!!!!
nakiri niko lonely,lakini toka lini Asha ukawa oprah winfrey? Lol utasutwa!
Mama Tuli at the time being B' yupo peke yake you know? Alafu na wewe ni broken hearted...lol... You see what i mean??
Hujambo Asha?
3. Bahati mbaya mimi ni mbumbumbu wa kompyuta,naomba utubandikie ule wimbo wa JD ule wa .....'usiusemee moyo'....
Jioni njema,naelekea kaunta,karibu,leo nitakuwa Haika bar,kinondoni, wana mishikaki mizuri pale.
You made me laugh chizi weweeee.......yani mpaka nimemshtua mwanangu kwa kicheko lol
umeambiwa usiusemee moyo,muache B achangamkie tenda mwenyewe lol lol
Dah! I see you are banned... Wori not am a person of my word...
I'm a little bit confused here,i need help.......Ally wa kitaa ndio NN ama??? Nisameheni bado mgeni mgeni kwenye jukwaa.
I'm a little bit confused here,i need help.......Ally wa kitaa ndio NN ama??? Nisameheni bado mgeni mgeni kwenye jukwaa.
hata mie
lishem langu la ukweli Dena ndo limenifundisha kunywa valuu.hahahaha... B' kama huwezi check usiku huu then imekula kwako...lol.... Alafu what has Dena got to do with anything??
........lol.... Yamekua hayo tena??? lol
hahahaha.... I see you see what i see.....
Asha ananiona mi zuzu,we mwache tu,asubiri kengele zikilia,anameremeta,anameremeta ,ma tully anameremeta anameremeta....vigelegele jamani...kwa kwa kwa !!!!!!You made me laugh chizi weweeee.......yani mpaka nimemshtua mwanangu kwa kicheko lol
umeambiwa usiusemee moyo,muache B achangamkie tenda mwenyewe lol lol
Nilisaha la muhim B'.... Huyo hapo JayD kwa raha zako bana..... Enjoy....