Nadhani ume-hit the point... I feel to devote all I have to them, lakini nashindwa kupata logic na kuamini hiyo ni Love, kwa sababu nimewafanya wao kuwa sehemu ya mwili wangu kwa furaha na machungu.. Ndio maana siogopi kuonyesha stress zangu kwao, siogopi kufanya kile nataka .. Kwani nahisi naamini kwa kuwapa maisha yangu ni zawadi zaidi ya Mapenzi .. Ndiyo maana kwenye ile topic hapo zamani nilisema naamini hakuna Mapenzi ..
Kwa Gaga, acha tu anipe hata za mchina. Mi ndo nshapenda hivyo!
hahaha RR bana, aliomba na vingeine..lolHahhaaaa yule alitoroka bana.......... Nadhani RR alichakachua akataka nyooonyooo!
yaani sweetness we acha tu,jana i was thinkin about it mpaka nikahisi homa. Muhusika nipo nae poa tu lakini am not happy coz nafeel what am getting from him is not enough.
ha ha ha, ntakuPM, this is a major project haitaki papara.
"Love" differs from case to case may be understood as meaning merely that I like this thing or activity very much. In the implication is typically that I find engaging in a certain activity or being a certain kind of person to be a part of my identity and so what makes my life worth living; I might just as well say that I value these by contrast and seem to indicate the mode of concern that cannot be neatly assimilated to anything elsehv unaweza kuwa umefall in love kiukweli mara ngapi jamani? Nahisi moyo nao unakuwa unafanya depreciation
yaani value ya kumfeel mtu kama ni mahusiano ya kwanza na wa pili au wa tatu inatofautiana yaani kama kuna kushuka kwa value/thamani ya mapenzi ,au nipo wrong jamani?
Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.
hv unaweza kuwa umefall in love kiukweli mara ngapi jamani? Nahisi moyo nao unakuwa unafanya depreciation
yaani value ya kumfeel mtu kama ni mahusiano ya kwanza na wa pili au wa tatu inatofautiana yaani kama kuna kushuka kwa value/thamani ya mapenzi ,au nipo wrong jamani?
Yah!! Sometimes it does happen everyone has his/her own way of falling in lovekwani mtu kujua upo in love kipimo ni mishtuko na mavibration tf?
ilimradi yanaongeza mahaba yeye hajali.......Akikupa za mchina itakuwa balaa,unaweza kutoroka ofisini ili kwenda kunusa nguo yake ambayo haijafuliwa anapokua hayupo!
Yap!!! Babu nakumbuka sanaa...wakujuu wako wanapungua kila kukichaSure, I miss the girl. Alikuwa Star MMU hapa. Enzi za kina Carmel na infidelity..........
La aziz..wivu mpaka past tense?
na vile vibridi ikifika jioni, acha mchezo kabisa, fallin in love sio kitu cha mchezo...na Mungu alivo mjanja unapewa hiyo hali mara moja tu maishani, love zingine zinazofata zinakuwa hazifikii ile ya kwanza japo nazo zinakuwa strong sanaYah!! Sometimes it does happen everyone has his/her own way of falling in love
Ohooo!!! Gagalicious for shizzoooohalafu wewe??
ilimradi yanaongeza mahaba yeye hajali.......
wivu tu huo wewe obama si unamichelle wako....huko kwingine tuachie wenyewe si unaona tunavopagawaHeee....MMU very hooot... haya mapenzi ni maneno ya asali asali tu au mwatendagA? mie natendaga & maneno matamu pia, watu wapo exciteeeeed.... !!! Waaachaaa, sijui kati kukoje, trying to imagine... hot hot hizi KOROSHO hizi.....
Yah!! Sometimes it does happen everyone has his/her own way of falling in love
kwani na wewe wataka eiyerMh!Usipoangalia utatupotezea babu bure,tukakosa hadithi!