Dah! I got into everlasting pain

Dah! I got into everlasting pain

Wanaorubuniwa..Teh Teh.

Mdada alijikaza 'kisabuni' though..mimi yangenishinda,ningejiangusha tu. Wangedai hela ningewaambia tumemalizana na bwa Harusi.

Hahahaaaaa!! Wee mie ningeenda kuwasuuza roho zao kama walivyotaka, ila ndio ningeandika historia.
 
Mmmmmm hata huyo Ex kilaza tu na bado anakuishi __________ Anaroho ngum kama jiwe mimi ma Ex wangu hata tukikutana nahis kufa kufa flani sipendi kabisa tuonane japo inatokeaga
 
Wanaorubuniwa..Teh Teh.

Mdada alijikaza 'kisabuni' though..mimi yangenishinda,ningejiangusha tu. Wangedai hela ningewaambia tumemalizana na bwa Harusi.
Hapo ingekula kwako... hiyo "maana ni breach of contract" Bwa Harusi hahusishwi.......
atoto Pritty wa joseph Pole tena.....
 
Last edited by a moderator:
pole,jitahidi kuficha huzuni yako ili huyo mjinga asijione kama kafanikiwa kukuumiza...
pia potezea maana tayari mlikuwa mmeachana...
mwisho ni kwamba hakuna maumivu yasiyoisha..ni kweli umeumia ila furahi kwa sababu ipo siku yataisha japo hutaisahau hiyo siku.

I don't think if waligundua hiyo kitu, ingawa kuna baadhi ya jamaa zake walishangaa sana
 
I don't think if waligundua hiyo kitu, ingawa kuna baadhi ya jamaa zake walishangaa sana

lazima washangae sababu ya ujinga alioufanya...
najua ilikuuma kwa kuwa ulikuwa bado unampenda... ila ndio hivyo kisicho riziki hakiliki.
kwa neema ya Mungu atakupa kikufaacho..
pole sana.
 
lazima washangae sababu ya ujinga alioufanya...
najua ilikuuma kwa kuwa ulikuwa bado unampenda... ila ndio hivyo kisicho riziki hakiliki.
kwa neema ya Mungu atakupa kikufaacho..
pole sana.

I call this "everlasting pain" coz I don't think if its gonna fade away, wanaume mtakuwa kuni kwa mungu
 
I call this "everlasting pain" coz I don't think if its gonna fade away, wanaume mtakuwa kuni kwa mungu

siku ukipata wa kuziba pengo maumivu yataisha kabisa na utarudi kutuambia humu....
ila hapo kwenye kuni mmm umetuonea..katika suala ya kuumiza wenzi wanawake mnaongoza...case za wanaume ni very rare na moja wapo ndio kama hii
 
Back
Top Bottom