Dah! I got into everlasting pain

Dah! I got into everlasting pain

pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with big offer without me knowing, I asked to be schedule in advance and led me around I got the day falling in the courtyard , lol come back to read the names nkakuta jina la x wangu na jina la binti aliyenipindua, I had no way out zaidi yakufanya lililonipeleka, dah wakuu nimeumia sana

Pole sana
 
Nimeduwaa tu hapo kwenye kuumiza wenzi wanawake wanaongoza.

Na usiombe uwe kwenye mahusiano na mtu aloumizwa alafu hajasamehe, uwiii majanga.

haha hizo tafiti halisi si kama zile za twaweza....
wanawake wana roho ya kisasi sana, akiumizwa haridhiki mpaka naye aumize.... tena abasubiri penzi limekolea ndio unanafanya yake... aisee mungu aniepushe mbali na hii kitu
 
Mmmmh! Mbona in reality wanaume ndio wana hiyo kaida?? Ndio huwa wakiumizwa na mmoja basi kila ajae analo, sie tunasamehe sanaa na kumove on ndio maana hata tunaishi maisha marefu zaidi yenu.
 
Mmmmh! Mbona in reality wanaume ndio wana hiyo kaida?? Ndio huwa wakiumizwa na mmoja basi kila ajae analo, sie tunasamehe sanaa na kumove on ndio maana hata tunaishi maisha marefu zaidi yenu.

hapana kabisa... wanawake ni zaidi hiyo iko proved hata biologically..mwanamke kusamehe huwa ni juujuu tu ila moyoni kinyongo kinakuwepo..
suala la kishi muda mrefu hiyo ni case nyingine kabisa...wanaume tunakufa mapema sababu ya majukumu tu tunayoubebesha ubongo, kuwaza sana tena ukizingatia ndio baba wa familia the last decision maker...
 
Hizo ni sababu tu, ila hilo la kutokusamehe na kurundika mambo moyoni na visasi nalo linachangia mnoooo vifo vyenu, hii nayo ni proved sayantifikali na saikolojikali.
 
Hizo ni sababu tu, ila hilo la kutokusamehe na kurundika mambo moyoni na visasi nalo linachangia mnoooo vifo vyenu, hii nayo ni proved sayantifikali na saikolojikali.

haya ngoja nikubali tu.... japo si miongoni mwa wa dizaini hiyo.
 
sawa kuendelea kumpenda mtu aliekuacha n kosa na sasa ana mke n zaidi ya kosa.... tafuta anaekenda endele na maisha kuumia kwingine ni kujitakia mme wa mtu acha kabisa ata kumuita ur X n kosa... ana new life dats why he didn't gv a shit on u... sory 4ma language!! dead &gone...liv happily
 
Ningekuwa mimi ndio wewe ningeongea na dj wimbo wa Toni Braxton He wasn't man enough utawale shughuli yote....
Huku nikiuimba vipande vipande kwa mbwembwe,mbona wangekoma?

Nimependa hii
 
I can't deny that's codemixing but she ain't clear as to what she is saying in the part where she has written in english. (read the post again)

Sorry for dat,Mimi ni mswahili najifunza kizungu, aheri yako wewe uliyeliona hilo,wenzako wananifariji we endelea kukosoa as if ndo luga yako
 
Ningekuwa mimi ndio wewe ningeongea na dj wimbo wa Toni Braxton He wasn't man enough utawale shughuli yote....
Huku nikiuimba vipande vipande kwa mbwembwe,mbona wangekoma?

Hahahaa nifah nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom