pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with big offer without me knowing, I asked to be schedule in advance and led me around I got the day falling in the courtyard , lol come back to read the names nkakuta jina la x wangu na jina la binti aliyenipindua, I had no way out zaidi yakufanya lililonipeleka, dah wakuu nimeumia sana
Iv maharus ni Din gan viLeeee@@
Khaaaah!! Wanaume wengine ni mbwa walah!! Ndio unyama gani huo sasa! Nyokolo zao wote wenye tabia hizo.
Ila nami ningewafanyia vimbwanga hiyo siku wasingenisahau, wangejuta kunikodi.
Kwa navyokujua..nahisi ata baada ya tukio hakuna ambae angetaman kuiangalia CD ya hiyo harusi..
Yaani ningeandika historia, wao si wamejitoa ufahamu mie ningejitoa akili kabisaaaa, wangefurahi na nafsi zao.
pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with big offer without me knowing, I asked to be schedule in advance and led me around I got the day falling in the courtyard , lol come back to read the names nkakuta jina la x wangu na jina la binti aliyenipindua, I had no way out zaidi yakufanya lililonipeleka, dah wakuu nimeumia sana
Mteja mfalme bhanaa.....!! "utaharibu biashara yako" MC kesha sema alilipwa kitita!!Khaaaah!! Wanaume wengine ni mbwa walah!! Ndio unyama gani huo sasa! Nyokolo zao wote wenye tabia hizo.
Ila nami ningewafanyia vimbwanga hiyo siku wasingenisahau, wangejuta kunikodi.
Bwa'harusi angepata wakati mgumu sana..hata hivyo nimegundua ana Tabia za kike,mwanaume mwenye akili hawezi kufanya hivyo.
Au lah,Bi harusi ndio aliyeshawishi hii kitu ifanyike. Sijawahi kusikia..duh
Khaaaah!! Wanaume wengine ni mbwa walah!! Ndio unyama gani huo sasa! Nyokolo zao wote wenye tabia hizo.
Ila nami ningewafanyia vimbwanga hiyo siku wasingenisahau, wangejuta kunikodi.
Hivi mwanaume na akili zako timamu za kiume waweza shawishiwa kufanya huu upuuzi na mwanamke nawe ukafanya? Ni uduwanzi tu, unless ndio wale wanaume........