DAH...Hii picha imenifikirisha sana

DAH...Hii picha imenifikirisha sana

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Yaaani hii pic imenifanya nimefikiria mpaka kichwa kikauma

daaah.jpg
 
Usifikirie sana....utakosa usingizi na mengi tu
 
Unaumiza kichwa bure coz wenyewe wakiiona wanaipeleka kwa wake zao nakusema eti leo wamenichora hivi. Mi kitambi changu kidogo then kichekoooo heheheeeeeeee
 
Si kuna yule aliyeulizwa akasema hajui kwa nini watanzania ni maskini? Unafikiri anawaona na vilio vyao?
 
Hapo inamaanisha ukisubiri kupewa, utangoja daima!
Dawa ni kumfanya ajue kuwa upo hapo chini..!! katika namna itakayomfanya ashindwe kujikausha kwamba hakukusikia! Utafanyaje?

Nakuhakikishia wengine watalaumu kuwa umetumia ubinafsi kukumbushia shida zako? kumstua akusaidie hata kama ni wajibu wake!? Wengine watasema alikua kishapanga kukusaidia kwenye ilani yake ya uchaguzi! Ukiwauliza, lini? watasema subiri, miaka 51 sasa tunasubiri!

Usiogope, fanya kitu chochote ili ajue kuwa upo hapo chini, ili kama nia ya kukusaidia anayo, aitimize, na kama hana nia hutakua na muda wa upoteza zaidi hapo chini ya kitambi chake, utaenda kuangalia alternative zingine.
 
Back
Top Bottom