grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Aug 29, 2013 #21 Heaven on earth said: Click to expand... Umenitamanisha kwa hiyo mupicha Sheriii. Miyeee taaabaani.
EMEDNEY Member Joined Sep 20, 2012 Posts 72 Reaction score 38 Aug 29, 2013 #22 Ahhh mama ndo kila kitu mke utatafuta mwingine bana ngoja kwanza nkaokoe mama maana sitapata mwingine ati!
Ahhh mama ndo kila kitu mke utatafuta mwingine bana ngoja kwanza nkaokoe mama maana sitapata mwingine ati!
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Aug 29, 2013 #23 Hivi kwa nini mnawaza mambo mabaya mabaya tu? Mi simo kabisa, mke wangu namuwazia mema, natamani nimkute akiwa kanisani akitumbuiza mapambio.
Hivi kwa nini mnawaza mambo mabaya mabaya tu? Mi simo kabisa, mke wangu namuwazia mema, natamani nimkute akiwa kanisani akitumbuiza mapambio.
T Tommy michael New Member Joined Aug 8, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Aug 29, 2013 #24 anaempiga mama hasira zitaishia kwake