Dah! hii hatari. utaanzia wapi??(mama au mke??)

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??
 
Mama first,akiuliwa ntampata wapi mwingine ila vigegedo vipo vingi sana.........

naanza na mama ila hao wanaogegedana hasira za mama angu kupigwa zitaishia kwao
 
mh! Sio ndo utaishiwa nguvu hadi ushindwe kurudi kumsaidia mama?
 
la chumbani tayari umeshamalizana nalo kwamba mke/mume mnaachana....unaenda kusuluhisha la mama sasa maana mama huwezi kumwacha.
 
hivi unaweza kumfananisha mama yako na mke /mume kweli? mama ni mama mkuu hakuna kama yeye ohooo
 
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??

Nikimkuta mama yangu amepigwa mpaka damu zinamtoka sidhani kama nitakukumbuka hata kwenda kutafuta silaha, shughuli nitaimaliza hapo hapo hata kwa kumng'ata na meno kama ngumi siwezi huyo jamaa anayemtwanga mama!

Lakini kama ikitokea nikarudi ndani kutafuta silaha, kwa huo mshtuko wa fumanizi, nafikiri hiyo silaha itaanzia kuwatestia hao kwanza! Usicheze na mshtuko na hasira za ghafla zinazotokana na fumanizi, kama huna hekima ya kutosha, unaweza kutoa mtu roho!!!
 
nyie wadada mbona munajibu hili swali haliwahusu ni kwa wanaume, wao ndo wanajua utamu wa mke. nyie mupite tu
 
Mama first,akiuliwa ntampata wapi mwingine ila vigegedo vipo vingi sana.........

naanza na mama ila hao wanaogegedana hasira za mama angu kupigwa zitaishia kwao
Umeongea mawazo yangu yote. Hakuna kama mama lakini hayo mengine yanaweza kuwa na mbadala.
 
Yaani umkute mama yako anapigwa ukimbilie nyumbani kutafuta silaha ? huo utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kuufanya.
 
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??

nyie wadada mbona munajibu hili swali haliwahusu ni kwa wanaume, wao ndo wanajua utamu wa mke. nyie mupite tu
Demba umesoma vizuri uzi kweli, jaribu tena kupitia hapo kwenye rangi nyekundu.
 
nashukuru sikupaona hapo. kwa muktadha huu jibu liko wazi kwangu mama anapigwa so kuna hatari ya kuumizwa au kumpoteza kabisa ilihali huyu mume ala uroda kwa raha zake. mie ntaanza na mama kwa kweli.
 
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??

mkuu huyo anaempiga maza haiitajiki silaha,nitamng'ata shingoni nimfyonze damu mpaka akauke,ila kwa waifu ye aendelee na mgegedo tu mpaka nimalize ishu ya maza,ila nikimkamata huyo anaemgegeda waifu lazima na mimi nimgegede kinyume na maumbile
 
nashukuru sikupaona hapo. kwa muktadha huu jibu liko wazi kwangu mama anapigwa so kuna hatari ya kuumizwa au kumpoteza kabisa ilihali huyu mume ala uroda kwa raha zake. mie ntaanza na mama kwa kweli.
Usihofu lakini kutokana na jina lako sijui niku-address kama baba au mama?
 
Dogo utanivunja mbavu ujue,mi sitaki banah mi mwenzio mbavu zangu zimekaza, halafu wewe.
mama first,akiuliwa ntampata wapi mwingine ila vigegedo vipo vingi sana.........

Naanza na mama ila hao wanaogegedana hasira za mama angu kupigwa zitaishia kwao
 
Nimekubali.

lips.gif
 
Kweli my mdogo maisha yenyewe mafupi haya acha mi nicheke kwani nikifa nitachekea wapi?????????hahahaha after all raha jipe mwenyewe,usijali my mdogo ngoja nijiwahie mie nianze kujiandaa fasta nisije nikachelewa mtoko mie,ila ushamwambia king wako?isije ikawa mmeandaa honey moon na mi ndo natokea ghafla tu,sitaki king wako anibadilishie sura mie.
dada blue g we cheka tu bana,maisha yenyewe full stress,mimi na grafani11

leo tunaomba ukaribie nyumbani kwetu kwa ajili ya chakula cha jioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom