Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Mfumo wa elimu ya coet kwa kweli unakaubabe fulani ila kuna jambo moja nataka nimwambie electrical engineer ni course ngumu sana tena kwa stucture ya hapo mlimani ndio usiseme maana mnasoma course kumi na saba kwa mwaka hasa huo wa pili ambao ndio chujio kwa course nyingi hasa COET watu wanadisco si mchezo.
electrical power nimesoma nao ila kuna vitu vifuatavyo kimtazamo ambao nina uzoefu naona
I. electrical power wanachukuliwa na cut off point ndogo hivyo wanashindwa kuresist load kwa mtazamo wangu (hii ni experience ya mwaka nilikuwa na soma na walio nitangulia mwaka wetu walikuwa 20 wakabaki 11 , mwaka waliotutangulia walibaki 15, mwaka tuliowaacha walibaki 7)
ii. kozi nyingi zinazotoka department tofauti mara ME, TE, MT,DP(ambazo ni ndio course mama ziko chache so unakuta concentration inakuwa ndogo) hili ni tatizo kubwa...
iii. ushirikano kati yenu (hili ni tatizo na tatbia ya kujifanya mnajua baadala ya kusoma kwa pamoja kusaidiana hii sio A- LEVEL kutambiana lazima watakula kichwa tu)
iV. inferior kwa course kama TE na CIT...
v. ubabe wa malecturer hapo coet unajulikana na hadithi zao na mshukuru kuna watu kama dr mvungi,ishengoma hawapo siajabu course nzima mngedisco maana duuh...
kuna haja yakuangalia upya hiyo course ya elecrical power na jinsi wanavyo enroll watu nasema hivi kwa sababu ni watu ambao nimesoma nao mimi nilikuwa electrical general (kozi mama) natulikuwa tunasoma kozi sawa hasa mwaka wa pili kwanini wa disco hivyo?
but all in all I LOVE ELECTRICAL ENGINEERING ESPECIALLY POWER SYSTEM ENGINEERING WHERE AM CURRENTLY PRACTISE MY ENGINEERING NEVER IN EARTH KAMA KITU KUKAA BENCHI KWA HII KOZI BELIEVE ME WATAKUWEKA KITAA KWA MUDA TU ...
SO GUYS BE SERIOUS SOMENI TENA JITAHIDINI KUELEWA ACHANENI NA MADESA HILI TUJE TUOKOE HII NCHI HASA HILI JANGA LA MGAO WA UMEME UKIPITA SECOND COET NI HAKI YA KUKUITA MHANDISI
Nawasilisha....