Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Kijana soma ...ukiona masomo yanakushinda basi ujue IQ yako ndo ishakua ndogo....
CC Prof Mwinyiwiwa
 
Mkuu mwambie dogo uhandisi sio lele mama someni sio complain tu!siku hizi nasikia mnacarry nafuu ukubwa!enzi hizo foe ngoma tatu hamna mjadara!alikuwepo segu,ishengoma,mayo,owen na rubaratuka na mmoja wa mchoro. Yaani utatokea wapi!siku hizi poa sana
uyo rubaratuka ndo kiboko haiseee
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
COET kuna ma lecturer wakuda sana yani ndo wanaofanya elimu kuwa ngumu
 
someni shule punguzeni starehe na mibangi

vijana wa leo unakuta akipata boom anahamia kwa pombe na ngono

boom likikata ndo anaanza kusoma huku hana hata uhakika wa lunch!!

ukidisco ulalamike!!

PURITENDAAAAAAA WAKUBWA(I MASANJA'S VOICE)
 
Sijaona ugumu wake hiyo ni defence mechanism kama mmnangalia porno huku mkijisifia mnasomea computa mtaipata tuu. Put your books forward and sing in second. Mtuache sisi mangini turelax then tuje kuwatawala tuwapangie kila kitu. Tz naona mainginia wa kutoka china tuu
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

If you was born to be an engineer,you will be .kumbuka hapo coet hujaanza kusoma wewe mkuu watu wamesoma na wameclear au na wewe unataka GPA ya 1.

Pia kumbuka mkuu kuwa vijana wa siku hizi mna uwezo mdogo sana alafu starehe nyingi ndo maana majanga kama hayo yanawakuta
 
ishu ni kukomaa siyo kulalamika ovyo kama mtt wa kike,km vp nenda vyuo ambazo wanakula bata na gpa kali afu kichwani una madudu,ukja mtaani tunakuaibisha vibaya,i love udsm ever.
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Mkuu unasoma bachelor of economics au engineering? au ulidisco coet?
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

mkuu unasoma nn udsm?
 
Black and white , huo ndo ukweli ingawaje wenzetu hawataki kuhusikia ,
Zamani vichwa vingi vilikua vinaenda Civil na Electrical ,lakini si hivyo tena ,
Kuimarika kwa TE , Electronics, CIT na Comp Science kumeondoa watu huko ,
Mbona hayo hayo ma DP TE na CIT wanapita with flying coluors ?

vichwa UDSM vipo COICT tukiongea ule ukweli COET kuna watu wa kawaida sana siku hizi... labda PETROLEUM ENG. itarudisha heshima ya COET ambayo imenyakuliwa na vijana machachali wa TE na CEIT
 
mfumo wa elimu ya coet kwa kweli unakaubabe fulani ila kuna jambo moja nataka nimwambie electrical engineer ni course ngumu sana tena kwa stucture ya hapo mlimani ndio usiseme maana mnasoma course kumi na saba kwa mwaka hasa huo wa pili ambao ndio chujio kwa course nyingi hasa COET watu wanadisco si mchezo
electrical power nimesoma nao ila kuna vitu vifuatavyo kimtazamo ambao nina uzoefu naona
I. electrical power wanachukuliwa na cut off point ndogo hivyo wanashindwa kuresist load kwa mtazamo wangu (hii ni experience ya mwaka nilikuwa na soma na walio nitangulia mwaka wetu walikuwa 20 wakabaki 11 , mwaka waliotutangulia walibaki 15, mwaka tuliowaacha walibaki 7)
ii. kozi nyingi zinazotoka department tofauti mara ME, TE, MT,DP(ambazo ni ndio course mama ziko chache so unakuta concentration inakuwa ndogo) hili ni tatizo kubwa...
iii. ushirikano kati yenu (hili ni tatizo na tatbia ya kujifanya mnajua baadala ya kusoma kwa pamoja kusaidiana hii sio A- LEVEL kutambiana lazima watakula kichwa tu)
iV. inferior kwa course kama TE na CIT...
v. ubabe wa malecturer hapo coet unajulikana na hadithi zao na mshukuru kuna watu kama dr mvungi,ishengoma hawapo siajabu course nzima mngedisco maana duuh...
kuna haja yakuangalia upya hiyo course ya elecrical power na jinsi wanavyo enroll watu nasema hivi kwa sababu ni watu ambao nimesoma nao mimi nilikuwa electrical general (kozi mama) natulikuwa tunasoma kozi sawa hasa mwaka wa pili kwanini wa disco hivyo?
but all in all I LOVE ELECTRICAL ENGINEERING ESPECIALLY POWER SYSTEM ENGINEERING WHERE AM CURRENTLY PRACTISE MY ENGINEERING NEVER IN EARTH KAMA KITU KUKAA BENCHI KWA HII KOZI BELIEVE ME WATAKUWEKA KITAA KWA MUDA TU ...SO GUYS BE SERIOUS SOMENI TENA JITAHIDINI KUELEWA ACHANENI NA MADESA HILI TUJE TUOKOE HII NCHI HASA HILI JANGA LA MGAO WA UMEME UKIPITA SECOND COET NI HAKI YA KUKUITA MHANDISI

nawasilisha....

Mkkuu Maganga nimekusoma vyema,
ukwel n kwamba cut-off point za watu wa power n ndogo ndomana wanadiasco kwa wing sec year
Ila ulichokosea ni kusema course mama ni Electr. Gener.hapo labda kwa ukongwe ila in-terms of courses power ndo nouma
kwa ufup Power ndo umeme wenyewe nyie General hamna side mpo mpo kotekote EPE, TE &,CIT
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom