Bei gani debe kwa waliokaangwa?Pata dagaa wa kukaanga wa kawaida na wa viungo.Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma.Maulizo 0759292980
Maandalizi ya kukaangaView attachment 491990View attachment 491992View attachment 491994
Dagaa huwa wachungu pale wanapokaa muda mrefu ila wakiwa fresh hawana uchungu kabisa hata wakiwa na utumboUnawatoa utumbo lakini? maana usipowatoa utumbo wanakua wachungu
Dagaa huwa wachungu pale wanapokaa muda mrefu ila wakiwa fresh hawana uchungu kabisa hata wakiwa na utumbo
Sio mie muhusika ila hapana huwa hawatolewi utumbo dagaa freshKwa maana hiyo huwatoi utumbo
Hujajibu hili Swali MkuuBei gani debe kwa waliokaangwa?
Kwa bei hiyo unafikiri Mnunuzi yeye atauza sh ngapi?Elfu40