ChalinzeWapi mkuu
Mna tawi Moro au Dar?Wapi mkuu
Du, hapo kwenye suala la uaminifu....Hapana ila tunatuma
Poa,ila inapendeza zaidi kama nikija huko mwenyeweWengi tunawatumia humu kama kungekua na tatizo wangeshasema hapa
Ndio nataka kuanza biashara afu na mtaji nao ni mdogo, kwa hiyo nikipata madebe kadhaa ya dagaa wakavu na kadhaa waliokaangwa itakua poaNi wewe tu.unataka kiasi gan
Poa nimekuelewa ila mwenzako mi ndio nataka kuanza, sasa natamani mtu ninaefanya nae biznez nijue physical location yake na details zingine, just incase of anything. You never know. Jiweke kwenye nafasi yangu, utaelewa.Usiwe na wasiwasi mkuu sisi tupo kwenye social networks zote tukifanya utapeli tutapoteza wateja wengi humu
Upo sahihi.kwa wateja ambao kidogo wana wasiwasi hua tunawaambie watume advance mzigo ukifika ndo wamalizie malipoPoa nimekuelewa ila mwenzako mi ndio nataka kuanza, sasa natamani mtu ninaefanya nae biznez nijue physical location yake na details zingine, just incase of anything. You never know. Jiweke kwenye nafasi yangu, utaelewa.
Nimekuelewa, let me think. Mnatuma kwenye mabasi? Gharama ya nauli ikoje?Upo sahihi.kwa wateja ambao kidogo wana wasiwasi hua tunawaambie watume advance mzigo ukifika ndo wamalizie malipo
NitaKuanzia debe 15 ambayo ni gunia kubwa tunasafirisha bure ila chini ya hapo utagharamia usafiri.ila kujua garama natakiwa nijue unataka kiasi gan
0759292980