Umeniokoa maana nilikuwa mbion kumpa helaHabari pole na kazi, ...mwenye namba mwisho 80 nimetuma pesa 14.7 mpaka leo sijatumiwa dagaa kuna tatizo gani? Kama imeshindikana nirudishie pesa yangu. Na ulisema baada ya 15 utatuma sasa upokei simu wala kujibu sms.
Jihadharini na matapeli.jamani hizo pesa zimerudi? bado mnafanya hiyo biashara? mbona matangazo yamepungua?