Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

Kiukwel hapo bado upo vzr, biashara nzuri ni ile yenye mzunguko mzuri na sio faida kubwa. Wafanya biashara wengi wanafanya biashara zenye faida ndogo sana lkn wanachojali ni mzunguko mkubwa kwaiyo nakushauri kaa chini jiulize ni vitu gani uvipunguze ili uweze kuongeza faida kwenye biashara yako...
 
Kufanya biashara bush ni kujidumaza kiakili. Vijiji vya kiafrika vina umaskini wa kutisha na kawaida misery loves company. Mwisho wa siku unadumaa hata kiakili
 
Pia Mzunguko wa hela kule ni mdogo tofauti na huku town.

Imagine DSM hapa fedha inayozunguka Kwa Siku ni zaidi ya 35B Kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya Mwaka 2017 so hopefully kwasasa Mzunguko unaweza kufikia 200B na zaidi
 
Nikweli dar kuna mzunguko mkubwa sana mm uku utumia nafasi ya mda wa masika hulima ufuta na maindi na mwezi wa watisa mpaka wakumi kuokota korosho uku nikifanya biashara zangu kuisha mwaka milioni 30 na zaidi kawaida sana ndio maana siami bush. Town najenga tu kwanza.
 
Pia Mzunguko wa hela kule ni mdogo tofauti na huku town.

Imagine DSM hapa fedha inayozunguka Kwa Siku ni zaidi ya 35B Kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya Mwaka 2017 so hopefully kwasasa Mzunguko unaweza kufikia 200B na zaidi
Mzunguko wa dar usikutishe ata uwambiwe 5000B chamsingi angalia mzunguko wako sio mzunguko wa BOT usikute ata wao wafanya kazi wa BOT awafanyi biashara yyt na mzunguko wote uwo.
 
Umenikumbusha miezi ya September hadi December mikoa ya Kusini huwa wanakuwa na hela nyingi za Korosho.

Mwaka huu nataka niwapelekee biashara huko ili nizikusanye hela zao baada ya mavuno
 
Hii nchi kujitetea ni ngumu sana mkuu, wenye mamlaka wana authority kubwa sana.

Huko Tra labda ukutane na mtumishi muadilifu ama mtu mnaejuana, vinginevyo tegemea lolote
Kawaida makadirio ya tra unajikadiria mwenyewe Ila Kama unaweka kumbukumbu Kama zako hawawezi kukulazisha ulipe hicho wanachotaka, huwezi.kulipa Kodi zaidi ya unachopata.
 
Mzunguko wa dar usikutishe ata uwambiwe 5000B chamsingi angalia mzunguko wako sio mzunguko wa BOT usikute ata wao wafanya kazi wa BOT awafanyi biashara yyt na mzunguko wote uwo.
Umesema sahihi Mkuu

Waajiriwa wengi hawafanyi biashara, hata Uchumi wausemao huwa ni nadharia zaidi za vitabuni
 
Umenikumbusha miezi ya September hadi December mikoa ya Kusini huwa wanakuwa na hela nyingi za Korosho.

Mwaka huu nataka niwapelekee biashara huko ili nizikusanye hela zao baada ya mavuno
Umeona na za ufuta Lindi apo zinamwagika mda sio mrefu endeleendi kukokomaa na mzunguko wa BOT dar.
 
Pia Mzunguko wa hela kule ni mdogo tofauti na huku town.

Imagine DSM hapa fedha inayozunguka Kwa Siku ni zaidi ya 35B Kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya Mwaka 2017 so hopefully kwasasa Mzunguko unaweza kufikia 200B na zaidi
Lakini pia na wafanyabiashara wamejaa sana mkuu, inabidi uwe creative saidi

Mzunguko wa pesa kuwa mkubwa ni sawa na sufuria kubwa la pilau, wapo wanaochota sinia, wapo wanaochota sahani, wapo wanaochota kibakuli, wapo wanaochota kisosi, wapo wanaoambulia mwiko mpaka wanaoambulia kijiko,,,, Kwa dar hadi uwe level za kuchota walau kisosi inabidi uwe very creative

Ukiwa mikoani ni ngumu kuchota sinia ama sahani lakini kama uhakika wa kuchota kibakuli upo bila ushindani mkali kama wa dsm, ni heri ujitafutie mkoani.
 
Absolutely Sir

Ni vyema kabla hujaingia sokoni ufanye tathmini ya kina vinginevyo unaweza Kuta unaenda kupoteza Mtaji wako
 
Ningekukuwa ningeuza baiskeli za mtumba labda kwa mtazamo wangu mm ingenifaa sana.
 
Umeona na za ufuta Lindi apo zinamwagika mda sio mrefu endeleendi kukokomaa na mzunguko wa BOT dar.
Kusini Kuchele

Hapo unatakiwa uende na milioni zako 20 hivi unaenda kujua Ufuta then nawe unaenda kuuza.
Kwa 20M hutakosa 27M ambapo ukitia hiyo 20 utabaki na Faida kama 7M
 
Absolutely Sir

Ni vyema kabla hujaingia sokoni ufanye tathmini ya kina vinginevyo unaweza Kuta unaenda kupoteza Mtaji wako
Ningekukuwa ningeuza baiskeli za mtumba labda kwa mtazamo wangu mm ingenifaa sana.
Ukiwa mikoani ni ngumu kuchota sinia ama sahani lakini kama uhakika wa kuchota kibakuli upo bila ushindani mkali kama wa dsm, ni heri ujitafutie mkoani.

Lakini ubaya wa mikoani unaweza kudumaa bila mbinu mpya, mtu creative kutoka Dsm akija hapo mkoani anaweza kukutoa relini
 
.

Mbaya zaidi wanataka hiyo Kodi wakati mfanyabiashara haujaanza kuzalisha hata shilingi 50 ya Faida

It's unfair 😭
Mkuu labda Wana kubana wewe tu, Kuna kipengele Cha majaribio kwa miezi 6.
👉Nime shuhudia Mara nyingi wana ambulia patupu, ikiwemo yangu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…