Dada zetu tambueni hili

Dada zetu tambueni hili

Najua umeelewa ila kama kweli hukuelewa jaribu kukariri itakusaidia siku moja
 
Hapa ndipo wanawake wanapowashinda Wanaume.
Upo hapa unahalalisha kuwa na michepuko kwa kuwa idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko Wanaume na wao wanahalalisha kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine nje ya ndoa kwa sababu zifuatazo
1. Una mishughuliko mingi
2. Humfikishi
3. Una kibamia
4. Huna swaga kwenye tendo la ndoa
5. Humjali
6. Upo safarini
7. Unamdandia Mara moja kwa wiki
8. Anatoa penzi Ili apate kazi
9. Anatoa penzi kwa ma-X zake
10. Anatoa penzi kwa workmate kwa kuwa tu wameenda seminar Arusha
11. Anatoa penzi kwa mwanamume mrefu kwa kuwa Wewe mfupi
12. Anatoa penzi kwa Rafiki yake WA kiume kwa kuwa anajali.

Note : Kutokuwa waamunifu katika ndoa na mahusiano ni vita isiyo na mshindi.
Mwisho wake ni majuto....
Asante kwa kuliweka hili sawa mkuu, kwakweli hawa viumbe wanatuzidi sana ktk harakati za kutoka nje sema tu wao ni wasiri mnoo....tatizo tu ni kwamba sisi tunakamatwaga kirahisi kwa sabab hatuna usiri km wao.
 
f6757455d337d1653b11a26e06f3e3f8.jpg
 
Asante kwa kuliweka hili sawa mkuu, kwakweli hawa viumbe wanatuzidi sana ktk harakati za kutoka nje sema tu wao ni wasiri mnoo....tatizo tu ni kwamba sisi tunakamatwaga kirahisi kwa sabab hatuna usiri km wao.

Ni kweli Wanaume kudakwa ni rahisi sana linaopokuja swala la " kutoka nje ya ndoa"

Watu wawe waaminifu tu
 
Ni kweli Wanaume kudakwa ni rahisi sana linaopokuja swala la " kutoka nje ya ndoa"

Watu wawe waaminifu tu
Ni kujitahidi na kumuomba Mungu kwakweli maana mjini mitego siyo ya kitoto mkuu.
 
Mke ni mmoja tuu labda uoe changudoa tena ukiwa unajua tuu


Kaka eh,ukweli ni kwamba unaemuita mke hayupo. Bari kuna permanent changudoa. Maana labda umuendee kwa muganga kupigwa atapigwa kama wanaouza. Bora wao wanapewa hela na kujitegemea kabisa
 
We kua muaminifu kwenye mahusiano yako.... Habari ya kuwaza wanawake ni wengi kuliko wanaume achana nayo
 
Back
Top Bottom