Dada zetu tambueni hili

Dada zetu tambueni hili

Mngeacha kuwaita michepuko muwaite wake zenu, unapiga kampeni hapa halafu huko nje unasema una mke mmoja mwambie mkeo wapo Wengi ili liwe la kawaida kama unavoliongelea humu.
Mke hapaswi kuambia kwa kuwa anajua tu kuwa wanaohitaji huduma hiyo muhimu ni wengi tena wengine unakuta ni marafiki zake ...
 
Ajue toka wapi bila kujulishwa, mnawaua mabinti za watu na maradhi eti huduma. Akili zingine kama ubongo umechanganyika na m.a.v.i
 
Hapo mbona sijakuelewa? au labda aloandika hii ni mtoto? Wewe hapo ulipo unajua umuhimu wa hiyo huduma ila basi unaamua kuongea kinyume kwa kuwa huonekani..
 
Wanawake wanaweza kuishi bila hiyo huduma hata mwaka, wanaume mnasingizia kwamba wanawataka wakati ninyi ndo mnawataka hao wanawake.
 
WE NI MWANAMKE AU MWANAUME?

Nijuavyo mimi ...
Kama mtu ana afya nzuri, anakula na kunywa, hana msongo wa mawazo, hana maradhi ya kumsababishia kupungua kwa hamu hiyo, miezi mitatu ni mingi sana, otherwise atakuwa anajihudumia mwenyewe kitu ambacho si kizuri kwa afya
 
Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio so hamna mwanamke wa peke yako pia
nimekusoma ... ila kinachotakiwa hapo ni kuheshimiana tu .... achepuke asinionyeshee, nichepuke nisimwoneshe .. life inasonga.
Ndoa / mahusiano imara ni yale ambayo washiriki wa mahusiano hayo wanachukuliana mapungufu waliyo nayo. Unaweza kuwa na mwenza ambaye hamu-match kwenye tendo hilo lakini kwa mambo mengine ya kimaisha mko sawa ... kwa hali kama hiyo wa kutafuta suluhisho ni yule asiyeridhika ..
 
WE NI MWANAMKE AU MWANAUME?

Nijuavyo mimi ...
Kama mtu ana afya nzuri, anakula na kunywa, hana msongo wa mawazo, hana maradhi ya kumsababishia kupungua kwa hamu hiyo, miezi mitatu ni mingi sana, otherwise atakuwa anajihudumia mwenyewe kitu ambacho si kizuri kwa afya
Kwani wewe mwanamke mpk unabisha?
 
Mi mwanaume na niko kwenye jamii ambapo kwa uzoefu wangu najua iko hivyo tu.
Basi haiko hivyo kwa wanawake wengi, ndio maana wapo wanaume wengi wenye ndoa wanaolalamika kutopewa unyumba.
 
nimekusoma ... ila kinachotakiwa hapo ni kuheshimiana tu .... achepuke asinionyeshee, nichepuke nisimwoneshe .. life inasonga.
Ndoa / mahusiano imara ni yale ambayo washiriki wa mahusiano hayo wanachukuliana mapungufu waliyo nayo. Unaweza kuwa na mwenza ambaye hamu-match kwenye tendo hilo lakini kwa mambo mengine ya kimaisha mko sawa ... kwa hali kama hiyo wa kutafuta suluhisho ni yule asiyeridhika ..
Ngumu kumeza
 
Basi haiko hivyo kwa wanawake wengi, ndio maana wapo wanaume wengi wenye ndoa wanaolalamika kutopewa unyumba.
Inawezeekana anamnyima unyumba mme wake .. anautoa nje tena kwa sana.
 
Back
Top Bottom