Dada zetu tambueni hili

Dada zetu tambueni hili

Hapa ndipo wanawake wanapowashinda Wanaume.
Upo hapa unahalalisha kuwa na michepuko kwa kuwa idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko Wanaume na wao wanahalalisha kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine nje ya ndoa kwa sababu zifuatazo
1. Una mishughuliko mingi
2. Humfikishi
3. Una kibamia
4. Huna swaga kwenye tendo la ndoa
5. Humjali
6. Upo safarini
7. Unamdandia Mara moja kwa wiki
8. Anatoa penzi Ili apate kazi
9. Anatoa penzi kwa ma-X zake
10. Anatoa penzi kwa workmate kwa kuwa tu wameenda seminar Arusha
11. Anatoa penzi kwa mwanamume mrefu kwa kuwa Wewe mfupi
12. Anatoa penzi kwa Rafiki yake WA kiume kwa kuwa anajali.

Note : Kutokuwa waamunifu katika ndoa na mahusiano ni vita isiyo na mshindi.
Mwisho wake ni majuto....
 
SIPINGI HATA KIDOGO .... HAKUNA BINADAMU ALIYE MKAMILIFU...
 
Inawezeekana anamnyima unyumba mme wake .. anautoa nje tena kwa sana.
Wewe ndo unaamini hivyo, ila ukweli ni kwamba mwanamke hana mihemuko sana kwa suala la ngono wengi hufanya kama wajibu, kupata kitu fulani au kuwasilisha hisia.. ndo maana anaweza kumyima mtu...wakati 1/3 mpk 2/3 ya ubongo wa mwanaume unawaza ngono, ubongo wa mwanamke unawaza afanyaje alingane uzuri na mwanamke fulani, afanyaje asukume mchuma mkali, afanyaje awe na hela asaidie ndugu zake na namna ya kuwatunza wazazi n.k atasisimkaje kila saa kama halipo kwenye mawazo yake. Mara nyingi ni namna atakavoonekana au kujisikia akipata kitu fulani kutokana na tabia ya kujilinganisha na kutojiamini. Wanaume huwaza ngono ndo maana hawawezi kukaa bila ngono kila kitu wana-relate na ngono kasoro vitu vya ibada labda.
Kutoka kwa mwanamke, wanawake wanaweza kukaa mwaka bila ngono akiwa na afya njema tu.
 
NIKUKUBALIE KWA KUWA MI SIO MWANAMKE ... ILA NILIWAHI KUMSIKIA MDADA MMOJA ANASEMA HIVI - NINA SIKU NYINGI SIJADOO NITAKAYEMPATA LAZIMA AWE AMEJIANDAA VYA KUTOSHA ....
 
Huyo alikuwa anakutangazia soko naona teh teh
 
Mtumishi nisaidie bana ..
Bwana Yesu kristo alituagiza tusali sala hiyo mara kwa mara ... Ufalme wa Mungu tunauhitaji hapa duniani, tunahitaji mkate wa kila siku, tunahitaji kusamehewa dhambi, tunatakiwa kusamehe, tunahitaji mapenzi ya Bwana yatimie hapa duniani kama mbinguni ...
Hivyo vyote haviwezi kupatikana bila kupata maarifa ya ki-Mungu, haviwezi kupatikana bila kufanya kazi... yako mengi rafiki
 
Amina mtumishi . umenifungua macho nitakuwa naisali kwa kuitafakari sasa.. Halafu kama hii sala ni maombi tosha
 
Huyo alikuwa anakutangazia soko naona teh teh
soko kwani anauza??? tena nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu na mme wake anakaa mbali anakuja mara moja kwa mwezi - sasa mara moja kwa kila mwezi ndo siku nyingi kweli?
 
Kwani huwa unaona wanapo do anaporudi? Hapana, soko sio lazima ununue na hela
 
Back
Top Bottom