Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Yes, mkeo akicheat inabidi ukae chini ujitathmini wapi unakosea urekebishe na umuombee sana. Sio kulia lia kama redio mbovu.
[emoji12][emoji12][emoji12] umeona eeh
 
Vyote vyote hata mtoto wa kike hatakiwi kufatiliwa hata siku moja
 
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini

Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.

Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Nyambafu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
57032366_316611138985381_3422771239224847379_n.jpg

Nyambafu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kumkataza mtoto asitambae aanze kutembea direct
You're listening too slowly.
Ooops i see. Some of us were lucky enough to attain maturity at such a tender age. Hatukuwa na ujana perfect, ila pia hatukuwa na ujana wa hovyo hovyo. Na uhenga huu; hizo "stages zilizorukwa" ndo hazina maana wala nafasi kabisa.
Hapa nazungumzia zaidi ukomavu wa akili, miaka 20 iliyopita siku kama ya leo nilikuwa nageuka kichaa kama sina pesa kwa sababu sikukuu zinaanza kesho, lakini tofauti na leo kipindi nawaza mahitaji tu ya watoto rikizo ya sikukuu ikiisha,

Isitoshe siku yenyewe ya pasaka labda niwajazie mafuta kwenye gari watoke na mama yao, sikuwa hivi hapo nyuma, this is what we call maturity, mzee anapokaa chini kwenye kigoda wewe hata upande mnazi mrefu hutoona umbali anaoona yeye.
 
yan mi hadi hua namuonea huruma huyu mtoto Wa watu aisee nkiwa likizo mwezi mzima naeza nsiguse simu yake kabisaaaaaa..... Ila yeye sijui hua anaishika sa ngapi hua naanza kuona MTU kanuna tu najua tayari nshaharibu na mbaya zaidi hua anasoma SMS moja moja...

anasoma hadi za washikaji ajue hua tunachat nn..... Inaniboa kinoma ila kwa sababu maumivu anayapata yeye atajua mi ntabembeleza asipoelewa basiii nimemwambia sanaa naye kanambia hawezi kuacha so nami hua naiacha na codes zote natoaa nkifika hom asome vizuri.....
 
Mada za kihuni tu hizi
Ndoa na mahusiano are so complex kuwa justified na hoja dhaifu kama
hizi za mleta mada
 
Nitakufuatilia tu hata iweje. Na uzuri hutajua.

Lazima nijue uovu wako wote, siwezi kaa na jitu linakuambia I LoVE YOU halafu akitoka tu nje anashikwa na kutembea na wanaume hovyohovyo. Halafu unasema nipe uhuru, kama unataka uhuru nenda kenya..
 
Back
Top Bottom