Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,485
Umezungumza vyemaDuuh hayo ni mahusiano au vita? Nataka nione hivyo vinavyofichwa ili nijue exactly nipo na mtu wa aina gani kabla sijaingia kwenye commitment kubwa zaidi. Siungi mkono tabia ya kupekuana ila pia siungi mkono suala la kuiogopa simu ya mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app