Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Piga chini, vuta mwsnamke mwingine they are so many out there wanahitaji ndoaSame to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app