Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,973
- 127,387
TUSHIKANE ILA TUSISHIKIANE SIMU😎😎😎
Hivi ukimpiga kibuti mwaume wako unakuwa umemfanyaje etiMwanaume haachik sasa unafeli
Sent from my iPhone using JamiiForums
TUSHIKANE ILA TUSISHIKIANE SIMU😎😎😎
OOOOH YEEEAAAAHKabisa
Kila mtu ashikee simu yake kwa kweli ila kushikana ruksa 😶
Mna penda sana sim zetu nyie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Japo ni sawa lakini umekosa ubunifu shoga'angu. Copy & paste hainogi katu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Azimio la Beijing ni nani alielianzisha...?Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Huyu Numbisa ni Kenge kweli kweli,eti ana copy na ku-paste.He he he!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uninstall kwa muda wasapu messenger nadhani hata simu utakuwa unaiacha nyumbani usisumbuliwe ukiwa bar.Habr zenu wanabodi,
Leo nataka niwape hawa dada zetu ukweli nmegundua wengi wanafeli sana hapa. Dada zetu usipoteze muda wako eti unamfatilia mwanaume wako anafanya nini nk..
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
NB: Mwanaume haachwi kwa kucheat
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti redio mbovuYes, mkeo akicheat inabidi ukae chini ujitathmini wapi unakosea urekebishe na umuombee sana. Sio kulia lia kama redio mbovu.
Kuna rafiki yangu huyu najua ana michepuko ila ana wivu kwa my wife wake. Sasa wakanyimana kushikianana simu.
Shemeji akiona mmewe kakaa na simu anajichekea mwenyewe roho inamuuma siku moja akaikwapua hapa ndipo ugomvi ulipoanzia nikayajua.
Tusifuatiliane, maisha rahisiiiii.
Sina hata muda na simu yake manake yangu tu anaiona kwa mbali
U
Uninstall kwa muda wasapu messenger nadhani hata simu utakuwa unaiacha nyumbani usisumbuliwe ukiwa bar.
.mueleze mchepuko wako no text msg na calls utapiga wewe ukimuhitaji, ukiweza kusimama na rules hizi kwenye research yako utagunduwa kumbe hata simu yako waweza muachia mkeo.
Haya mawasapu yenu ndio yanayovunja mahusiano kwa sasa. Nimeondoa wasapu app kwenye simu yangu hata nikiwa home tunaweza kupiga story na wife na siyo kuwa mtumwa wa simu upo bize kwenye magroup kumbe mwenzako anakukata jicho anajuwa unachart na michepuko mengine.
Wasichokijuwa wanaume wengi ni kwamba wanawake wote wanatongozwa sana kila siku kwahiyo wanaamini wanaume wote ni wahuni, kwahiyo ni jukumu lako mwanaume kuishi nao kwa akili na kuwaprove wrong kwamba wewe ni tofauti na wanaomtongoza mkeo kila siku.
Kizazi hiki hizi simu msipofanya maamuzi magumu ya limitations zitawasumbuwa sana, mimi sasa hivi jioni simu naacha nyumbani ikiwa on nakwenda bar sitaki kelele za kupigiwa simu home kila dakika 20, kwangu it works.