Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Nakubaliana na wewe 100%. Sielewagi hiyo notion eti kila mtu lazima afanye upuuzi ujanani ndo uzeeni aje kutulia. Wengine ni wapuuzi ujanani hadi uzeeni. Maisha hayana formula wala universal stages kwamba lazima upite 12345. Na usipofanya upuuzi; basi umeruka stage eti ndo uzeeni utasumbua. Em tuuthamini ujana wetu

Uliyoyasema ni kweli ila hiyo aya ya mwisho sikubaliani na wewe. Mfano mimi na uzee huu sijawahi kukanyaga sehemu inaitwa club unataka kuniambia ipo siku nitaenda nikiwa na mvi? Kuna universal formula ya maisha kwamba walichopitia wengine lazima kila mtu apitie? Mimi nadhani ni hulka tu kwani huyo le mutuz enzi za ujana alikuwa ameparalyse? Si alikuwa mzima tu na huenda alifanya mengi tu ya ujana sema mtu mwenyewe ndio hivyo hakui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unajua binadamu huwa hatukubali kuwa tuko tofauti, yaani mtu kama ni mpuuzi anashindwa kukaa bila kufanya upuuzi anaashum kila mtu yupo hivyo
 
Mnatimiza sasaa
Mtu ukute mkeo ndo analisha we unajenga unadhani kuna habari ya no viceversa hapo subutuu
Suala la kutimiza ni suala jingine. Mwanamke anayetambua nafasi yake kwenye familia hawezi pimana ubavu na mumewe hata siku moja!
 
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini

Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.

Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Mbona kama umepaniki?
 
Kifupi ni kwamba... Tusifatilianeee
 
Uliyoyasema ni kweli ila hiyo aya ya mwisho sikubaliani na wewe. Mfano mimi na uzee huu sijawahi kukanyaga sehemu inaitwa club unataka kuniambia ipo siku nitaenda nikiwa na mvi? Kuna universal formula ya maisha kwamba walichopitia wengine lazima kila mtu apitie? Mimi nadhani ni hulka tu kwani huyo le mutuz enzi za ujana alikuwa ameparalyse? Si alikuwa mzima tu na huenda alifanya mengi tu ya ujana sema mtu mwenyewe ndio hivyo hakui

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nazungumzia zaidi ukomavu wa akili, miaka 20 iliyopita siku kama ya leo nilikuwa nageuka kichaa kama sina pesa kwa sababu sikukuu zinaanza kesho, lakini tofauti na leo kipindi nawaza mahitaji tu ya watoto rikizo ya sikukuu ikiisha,

Isitoshe siku yenyewe ya pasaka labda niwajazie mafuta kwenye gari watoke na mama yao, sikuwa hivi hapo nyuma, this is what we call maturity, mzee anapokaa chini kwenye kigoda wewe hata upande mnazi mrefu hutoona umbali anaoona yeye.
 
Back
Top Bottom