Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Habr zenu wanabodi,
Leo nataka niwape hawa dada zetu ukweli nmegundua wengi wanafeli sana hapa. Dada zetu usipoteze muda wako eti unamfatilia mwanaume wako anafanya nini nk..
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
NB: Mwanaume haachwi kwa kucheat
Sent from my iPhone using JamiiForums