Hao ni wehu kweli unajua kama unapewa hela ya matumizi hamna shida basi ila unajua tatizo nini.
Ninyie wanaume mnamuonyesha kuwa umepewa K huko nje madharau unapunguza upendo uko busy na simu matumizi hutoi yanayotosha unamjibu jibu mkeo kwanini asiwe namakisio kuwa unamtu.
Hivi utaonyeshaje kama wewe sio boya.
Kuna wanawake wanawivu na wanahisi.
Kuwa uko na mtu ila wengine mapenzi ni kitu kimoja kizuri mmpendwa ukiwa na mahusiano tena yandoa angalia usije ukamuumiza yule wandani.
Shauri yako akianza yeye usichukie.
Sent using
Jamii Forums mobile app