Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,534
Shosti umepewa msuko hapo juu, kasuke upendeze.
Shosti umepewa msuko hapo juu, kasuke upendeze.
Mwenyewe nimeona hilo
Umenena kweli kabisa, watu hum ndani wanamwaga sumu balaa ukizibeba kama zilivyo inakula kwakoTuwe makini na ushauri wa MMU.
Humu mengi tunayasema tusiyoweza kuwaambia wake zetu na waume zetu majumbani pindi wanapotukera.
Sumu tunaitemea humu...
Sijui hata huwa wanalia lia nini?Eti redio mbovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jamaa alinichekesha eti akisoma comments zetu jf anatamani kumzaba mkewe makofi.Umenena kweli kabisa, watu hum ndani wanamwaga sumu balaa ukizibeba kama zilivyo inakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mxieew
Kuna jamaa alinichekesha eti akisoma comments zetu jf anatamani kumzaba mkewe makofi.
Kufuatiliana imo lakini kwa stara, si lazima uwe na access na simu ya mwenzio, simu ni private, kama unaishi na mtu kimeo utakuja kugunduwa tu.Tusifuatiliane, maisha rahisiiiii.
Shosti umepewa msuko hapo juu, kasuke upendeze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama una roho nyepesi unaweza kujikuta hadi unamuacha uliyenaye kisa ujinga wa humuKuna jamaa alinichekesha eti akisoma comments zetu jf anatamani kumzaba mkewe makofi.
Umenena kweli kabisa, watu hum ndani wanamwaga sumu balaa ukizibeba kama zilivyo inakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata huwa wanalia lia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama una roho nyepesi unaweza kujikuta hadi unamuacha uliyenaye kisa ujinga wa humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jamani, kufuatiliana muhimu aisee ila usiwe too much, eti simu ya mtu niione kama bomu la nuclear siwezi kwa kweliKufuatiliana imo lakini kwa stara, si lazima uwe na access na simu ya mwenzio, simu ni private, kama unaishi na mtu kimeo utakuja kugunduwa tu.
Tatizo la simu unaweza kukuta charts conservation za mwenzako ukalipuka na wakati hao watu hawana uhusiano wa mapenzi.
Yaani nilicheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa chizi kweli
Hapo lazima unazungumzia flirting, sumu hiyo. Acha.Kufuatiliana imo lakini kwa stara, si lazima uwe na access na simu ya mwenzio, simu ni private, kama unaishi na mtu kimeo utakuja kugunduwa tu.
Tatizo la simu unaweza kukuta charts conservation za mwenzako ukalipuka na wakati hao watu hawana uhusiano wa mapenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama una roho nyepesi unaweza kujikuta hadi unamuacha uliyenaye kisa ujinga wa humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaoongoza kwa kulia lia humu ni wanaume.Na asilimia nyingi wanakuja kumwaga povu humu gazeti kama lote